Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

hataki kabisa kuskia rais au waziri mkuu asiwe mkristo mkatoliki.
Anapendelea watu wa kabila lake kutoka singida ndio wachukue nafasi zote za uongozi wa nchi na hata chadema.
Halafu kwa unafiki wa kiwango cha juu sana anadai hapendi ubaguzi wala upendeleo šŸ’šŸ’
Hauko prejudiced kweli? Critical thinking is thing about one's own thinking.
 
Sipo upande wa gwajima.ila hii tabia kwamba anayekukosoa una muona adui yako na kumfanyia fujo si sawa
 
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
Aisee hakuna kitu kibaya kama kuishiwa stock ya aibu.
Penda haki ndugu yangu mengine yatafuata.
Umeandika wewe, aibu naona mimi!
 
Hauko prejudiced kweli? Critical thinking is thing about one's own thinking.
no own thinking in church,
no church has selfish or trabalist priest like that chadema member within catholic church
 
Ni maamuzi ya kipumbavu kutoka kwa huyo Paroko wa Mavurunza. Kwanza itikadi ya walokole inapingana sana na imani ya Kanisa Katoliki. Huu ni unajisi wa kanisa wa wazi wazi.

Pili kiongizi wa hili kanisa mwaka 2017 alidhalilisha sana Cardinal Polycap Pengo ambaye alikuwa ndiyo Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam.

Kama Mavurunza RC wamepata kibali cha Askofu kuwakaribisha waumini wa Ufufuo na Uzima, basi wamekiuka maagizo yao yote wanayotukataza kwenda kuhudhuria mahubiri/ miujiza ya walokole. Thus is bad precedence
Wewe Islam wakiungana waakristo ya kuhusu nn
 
Pengo na gwajima walishakutana 2020, wakamalizana na kusameheana. Tafuta kichaka kingine cha kujifichia
 
Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.

Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.

View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2

Eti BAKWATA walishawahi kutoa tamko lolote juu ya utekaji na mauaji nchini???
Au Uislamu unakataza kukemea maovu??
 
Wakati wa Magu makanisa hakuyafungia kutwa alikua huko akiomba toba na kutaka kuombewa...mpk misikitini alienda....
 
Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Tunakomaa na tulipoangukia badala ya pale tulipojikwaa.
 
Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.

Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.

View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2

Ila CDM imshindwa kusimama wazi wazi na Gwajima na kanisa lake.
 
Haki ni tunda la Roho Mtakatifu
Pia ni fadhila " virtue" inatafutwa haijalishi imeegemea wapi.
Kuna makanisa ya kilokole mengi sana hapa Dar, wangeweza kuingia kanisa lolote lile, lakini wameamua kuja RC Mavurunza, ujue hapo kuna mchezo unachezwa wala siyo kuabudu
 
Pengo na gwajima walishakutana 2020, wakamalizana na kusameheana. Tafuta kichaka kingine cha kujifichia
Kumalizana kivipi? Unadanganyika na yale mapichapicha? Yaani hata mitego ya unafiki unashindwa kuiruka
 
Mbarikiwe sana TEC. Ngoja tuone kama malasusa wa KKKT atapinga.
Malasusa ni tapeli wa mapenzi huyo!! aliwahi kuchukua mke wa mtu, kipndi Shoo akiwa mkuu wa kabisa!! akaitwa kusuruhisha akagoma!! Laana ya kuvunja ndoa ya mtu inamsumbua huyo!! Niliwahi kukutana nae tumbi kkkt, tulialikwa kula chakula pamoja, moyo wangu ulisita kumpa mkono!!
 
huenda ni jitihada za kinafiki za fr.kitime za kufungua tawi jipya la chadema ndani ya kanisa katoliki na kuhakikisha kabila la alikotoka fr.kitime na lisu linadominate uongozi wa ndani ya kanisa katoliki
 
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
unaandika au unahara?
 
Back
Top Bottom