Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

makasisi wa kikatoliki duniani wanajulukana sana kwa ulawiti gentleman.
Hapa Tz mfano huyo padre mnafiki na mkabila mwenye chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki ni mwanachadema kindaki ndaki πŸ’
Wewe acha kuwahusisha Makasisi wa Katoliki Tanzania na ujinga huo, Kwani huko Uarabuni Ushoga hakuna? Au kwa vile mnajificha kwenye kichaka cha kuwa baadhi ya Wakristo waliokengeuka kuunga mkono ushoga ndo unataka kutuaminisha hapa kuwa Ukristo unaunga mkono ushoga.

Waislam wengi sana manafanya ufiraji ndo maana hata Zanzibar na Mombasa ambako jamii kubwa ni Waislam ndo inaongoza kwa masuala ya ushoga na ujifarji.

Kanisa Katoloki na Wakristo wamekuwa wakipinga sana mambo ya utekaji na uongozi mbaya hata kipindi Magufuli,Hivyo sehemu kubwa wa watu waliopinga uongozi wake ni Wakiristo ndo maana uanaona kama akina Benny Sananne ,Azori Gwanda na Lisu kushambuliwa ni kwa sababu ya kupinga uongozi wa Mwagufuli.

Iweje leo Mama Samia akipingwa mseme wanapinga kwa vile ni Mwislam na hiyo ndo sababau kwa kuwa wanaopinga ni Wakristo wale wale waliompinga JPM.
 
makasisi wa kikatoliki ni vinara wa kupachika mimba vibinti na kutekeleza watoto mitaani. Ni wavunjanji wakubwa wa ndoa za waamini wao na sasa wamechoka habari ya kuhubiri neno la Mungu wamegeukia siasa za chuki, migawanyiko na ukabila kama huyo Kitima wa chadema πŸ’
 
Nasubiria Msando aagize wale div.4 wakavunje huo ukumbi wa katoliki😁ili tuone panapovuja.
 
Aiseee kwa hayo yote uliyo orodhesha hawa si watu wazuri kabisa, wafungieni
 
Kuanzia lini mgonjwa anapona kwa maombi mgonjwa aende hospital akatibiwe
 
Waafrika tumeshafikia hatua ya kulaumu kila kitu eti Wazungu mara watu wa Ulaya, Jiulize watu wanakusanya pesa wanaziiba na kuzifanyia ufisadi na maendeleo hakuna wakiulizwa wanasema Wazungu na blahblah kibao. Tatizo letu tulishapata watu wa kuwasingizia kwa maana hatujataka kutumia akili zetu vizuri, Hata kwenye mikataba mibovu napo analaumiwa Mchina na Mzungu.

Ndo maana unaona saizi ikitokea sisi kwa sisi tukaanza kukosoana anatokea mjinga mmoja anahusisha hoja hizi na mambo ya dini na ujinga ujinga mwingi tu.
 
kwanini nizungumzie uarabuni wakati mafuska ndani ya kanisa hilo wamejaa tele humu nchini gentleman?
makasisi wanafungisha ndoa na wao wenyewe wanazivunja kwa kuendekeza uzinzi πŸ’
 
β€œTakataka”
 
makasisi wa kikatoliki duniani wanajulukana sana kwa ulawiti gentleman.
Hapa Tz mfano huyo padre mnafiki na mkabila mwenye chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki ni mwanachadema kindaki ndaki πŸ’
Vita imekuwa ya kidini tayari, Mwafrika πŸ˜‚πŸ˜‚jinga kabisa
 
Vita imekuwa ya kidini tayari, Mwafrika πŸ˜‚πŸ˜‚jinga kabisa
kuna huyo padre mnafiki mkatoliki wa Chadema anachukia viongozi wa kitaifa wasio wakatoliki balaa
hata pale Chadema tu anaowachukia mno viongozi wasio wa kabila lake, anatamani viongozi wote wa Chadema watoke singida na wawe kabila lake na Mwenyekiti wa Chadema Taifa πŸ’
 
Ni maamuzi ya kipumbavu kutoka kwa huyo Paroko wa Mavurunza. Kwanza itikadi ya walokole inapingana sana na imani ya Kanisa Katoliki. Huu ni unajisi wa kanisa wa wazi wazi.

Pili kiongizi wa hili kanisa mwaka 2017 alidhalilisha sana Cardinal Polycap Pengo ambaye alikuwa ndiyo Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam.

Kama Mavurunza RC wamepata kibali cha Askofu kuwakaribisha waumini wa Ufufuo na Uzima, basi wamekiuka maagizo yao yote wanayotukataza kwenda kuhudhuria mahubiri/ miujiza ya walokole. Thus is bad precedence
 
Uliona wapi Padri wa RC anahudhuria mkutano viwanja vya Mwembeyanga?? Huyo ni binamu wa Tundu na anabeba agenda za Tundu
 
aisee!
kumbe ushabiki wako kwa nanilii ume base kwenye dini eeeeh!
 
Safi sana! Huu ni muda wa Wakristo kushikamana kama Kanisa moja bila kujali tofauti zetu.Achana na haya Makristo yaliyotekwa na hii roho kumbe ni maadui wa mwili wa Kristo.
Kumbuka Tanzania kwa sasa inaongozwa na roho ya Mpinga Kristo.
Sasa hivi nilikuwa nashirikishwa na Mkristo mmoja,kuna Kikosi cha Maombi ambacho kinashugulika na hii roho,niseme matokeo yanakuja.
 
aisee!
kumbe ushabiki wako kwa nanilii ume base kwenye dini eeeeh!
hataki kabisa kuskia rais au waziri mkuu asiwe mkristo mkatoliki.
Anapendelea watu wa kabila lake kutoka singida ndio wachukue nafasi zote za uongozi wa nchi na hata chadema.
Halafu kwa unafiki wa kiwango cha juu sana anadai hapendi ubaguzi wala upendeleo πŸ’πŸ’
 
Write your reply...unakuta kijiji au kata nzima kuna kanisa moja tu la rc lkn wao wanajifanya wengi mbeya kanisa lenye waumini wengi ni morovian.njombe luthelani songwe luthelan rukwa luthelani iringa othodoksi lutherani ruvuma roman catholic hiyo ndio nyanda za juu kusini. Rc msijifanye mpo wengi
 
Uliona wapi Padri wa RC anahudhuria mkutano viwanja vya Mwembeyanga?? Huyo ni binamu wa Tundu na anabeba agenda za Tundu
kuna siku huyo binamu yake Lisu aliongoza ibada ya wanaume katoliki hapo kanisa la kristu mfalme tabata, sasa kuna mzee moja wa makamu alikua ameketi pembeni yangu, aliniuliza huyu padre anazungumzia nini mbona kama anafanya siasa madhabahuni?, ananikwaza.

Baada ya muda mfupi yule Mzee alinyanyuka kwenye kiti na kuondoka zake nyumbani kabla ya ibada.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…