Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

Hauko prejudiced kweli? Critical thinking is thing about one's own thinking.
 
Sipo upande wa gwajima.ila hii tabia kwamba anayekukosoa una muona adui yako na kumfanyia fujo si sawa
 
Aisee hakuna kitu kibaya kama kuishiwa stock ya aibu.
Penda haki ndugu yangu mengine yatafuata.
Umeandika wewe, aibu naona mimi!
 
Hauko prejudiced kweli? Critical thinking is thing about one's own thinking.
no own thinking in church,
no church has selfish or trabalist priest like that chadema member within catholic church
 
Wewe Islam wakiungana waakristo ya kuhusu nn
 
Pengo na gwajima walishakutana 2020, wakamalizana na kusameheana. Tafuta kichaka kingine cha kujifichia
 
Eti BAKWATA walishawahi kutoa tamko lolote juu ya utekaji na mauaji nchini???
Au Uislamu unakataza kukemea maovu??
 
Wakati wa Magu makanisa hakuyafungia kutwa alikua huko akiomba toba na kutaka kuombewa...mpk misikitini alienda....
 
Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Tunakomaa na tulipoangukia badala ya pale tulipojikwaa.
 

Ila CDM imshindwa kusimama wazi wazi na Gwajima na kanisa lake.
 
Haki ni tunda la Roho Mtakatifu
Pia ni fadhila " virtue" inatafutwa haijalishi imeegemea wapi.
Kuna makanisa ya kilokole mengi sana hapa Dar, wangeweza kuingia kanisa lolote lile, lakini wameamua kuja RC Mavurunza, ujue hapo kuna mchezo unachezwa wala siyo kuabudu
 
Pengo na gwajima walishakutana 2020, wakamalizana na kusameheana. Tafuta kichaka kingine cha kujifichia
Kumalizana kivipi? Unadanganyika na yale mapichapicha? Yaani hata mitego ya unafiki unashindwa kuiruka
 
Mbarikiwe sana TEC. Ngoja tuone kama malasusa wa KKKT atapinga.
Malasusa ni tapeli wa mapenzi huyo!! aliwahi kuchukua mke wa mtu, kipndi Shoo akiwa mkuu wa kabisa!! akaitwa kusuruhisha akagoma!! Laana ya kuvunja ndoa ya mtu inamsumbua huyo!! Niliwahi kukutana nae tumbi kkkt, tulialikwa kula chakula pamoja, moyo wangu ulisita kumpa mkono!!
 
huenda ni jitihada za kinafiki za fr.kitime za kufungua tawi jipya la chadema ndani ya kanisa katoliki na kuhakikisha kabila la alikotoka fr.kitime na lisu linadominate uongozi wa ndani ya kanisa katoliki
 
unaandika au unahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…