Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ndio.Kwani sadaka huwa wanaondoka nayo yote?
Mimi ni shahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Kwani sadaka huwa wanaondoka nayo yote?
Sijui hiliNdio.
Mimi ni shahidi
Huyu jamaa kabisa amekaa akatafakari akaona alete hii kama hoja, wonders shall never endBado hujakua kiimani una imani haba halafu unajitamba wewe kiongozi wa Jumuiya nahisi wewe ndio wale utakua unawaambia unaowaongoza wasichange michango kisa anakula baba padre.
Sasa umeyaleta humu Paroko wako ndio yupo huku.nina mashaka unaweza kuwa hata sio Mromani wewe.
Vipi hiyo Sadaka mnatoa Milioni 50 nini umeshawahi changia mafuta ya gari la Baba Padri, umeshawahi nunua hata Ciborium moja, umeshawahi saidia hata mshumaa mmoja tu au kitambaa cha misa.
Nakushauri tumia hekima na omba hekima zaidi kama Selemani
Umeandika ili uonekane na wewe upoMimi ni muumini wa kanisa tajwa hapo juu, nimekuwa kiongozi wa jumuia kwa kipindi fulani, niliwahi kumfata paroko kishauriana naye mambo kadhaa, na pia kwenye vikao vya kamati tendaji ya kigango nilishauri kukiwa na msiba sadaka ikusanywe mara moja tu.
Kukusanya sadaka mara 2 ule utaratibu unawakwaza watu hata kama hawasemi kwakuwa si eneo la kuhoji bali mazishi pili hata ile sadaka inayokusanywa nilishauri wapewe wafiwa Mana kwa siku2-3 hawatazalisha iwasaidiye.
Kwanini mnachukuwa kuondoka nayo na kusema kuwa itasomewa misa ya marehemu kwani lazima muwasomee? Kusoma kwenyewe mnasema tu ktk misa hii tuungane na familia ya mr Kago anamuombea mr Blue Kago imeisha hiyo.
Nasisitiza suala la kuombea marehemu waachiwe wanafamilia wapange na watafanya misa kubwa maalum.
Kwani kanisani hamtoi sadaka hadi wachukue rambirambi?Unataka wameombeeje?
Nia za misa zote huwekwa wazi mwanzoni mwa adhimisho la Misa na wakati wa Konsekrasio (japo siyo kwa ulazima).
Kuhusu matumizi ya sadaka; ni utaratibu wa Kanisa Mahalia husika. Siyo universal. Halafu kwani wafiwa hamwapi rambirambi hadi wategemee sadaka?
Kwani sadaka inayotolewa kanisani siku ya ibada hawezi tumika kunununulia mafuta ya kumpeleka paroko msibani mpaka mkamtoze marehemu?Bado hujakua kiimani una imani haba halafu unajitamba wewe kiongozi wa Jumuiya nahisi wewe ndio wale utakua unawaambia unaowaongoza wasichange michango kisa anakula baba padre.
Sasa umeyaleta humu Paroko wako ndio yupo huku.nina mashaka unaweza kuwa hata sio Mromani wewe.
Vipi hiyo Sadaka mnatoa Milioni 50 nini umeshawahi changia mafuta ya gari la Baba Padri, umeshawahi nunua hata Ciborium moja, umeshawahi saidia hata mshumaa mmoja tu au kitambaa cha misa.
Nakushauri tumia hekima na omba hekima zaidi kama Selemani
Kama inakusumbua ondoka utuachie Parokia yetu! Unafikri ndugu wakipewa hiyo sadaka watenda kweli kuomba Misa? Utaratibu mzuri huu!Mimi ni muumini wa kanisa tajwa hapo juu, nimekuwa kiongozi wa jumuia kwa kipindi fulani, niliwahi kumfata paroko kishauriana naye mambo kadhaa, na pia kwenye vikao vya kamati tendaji ya kigango nilishauri kukiwa na msiba sadaka ikusanywe mara moja tu.
Kukusanya sadaka mara 2 ule utaratibu unawakwaza watu hata kama hawasemi kwakuwa si eneo la kuhoji bali mazishi pili hata ile sadaka inayokusanywa nilishauri wapewe wafiwa Mana kwa siku2-3 hawatazalisha iwasaidiye.
Kwanini mnachukuwa kuondoka nayo na kusema kuwa itasomewa misa ya marehemu kwani lazima muwasomee? Kusoma kwenyewe mnasema tu ktk misa hii tuungane na familia ya mr Kago anamuombea mr Blue Kago imeisha hiyo.
Nasisitiza suala la kuombea marehemu waachiwe wanafamilia wapange na watafanya misa kubwa maalum.
Nini tofauti kati ya sadaka na rambirambi?Kwani kanisani hamtoi sadaka hadi wachukue rambirambi?
Hata juzi tumepeleka mwili kanisani ukafanyiwa misaSijui hili
Sadaka inayotolewa pale wanabeba yote.Sijui hili
Mkatoliki pyua mimi.Huyu n msabato
Siyo mzuri.nasisitiza upendo na huruma,kwanini kubeba hela zote wapewe wafiwa na ikibidi padre apewe mafuta ya gari ova.mKama inakusumbua ondoka utuachie Parokia yetu! Unafikri ndugu wakipewa hiyo sadaka watenda kweli kuomba Misa? Utaratibu mzuri huu!
Wewe maoni yako na elimu unatuambiaje?Huyu jamaa kabisa amekaa akatafakari akaona alete hii kama hoja, wonders shall never end
Hapana.tuliangaliye kea umakini.Umeandika ili uonekane na wewe upo
Kwa leo nipo na hoja hiyo tu.haya mengine si muda wake.Yani unaliamini KANISA kahaba Hadi Leo??????!!!!!!
1. Papa Muwakilishi WA MUNGU Duniani.
2. Bikra Malia anaombewa Hadi Leo na kuwaombea
3. Mnaabidu USHIRIKINA WA Rozali (zipo wapi Rozali kwenye BIBLIA)!!!!
4. MMEJAZA masanamu kanisani Kila kona.
5. Walevi WA pombe.
Achaneni na miungu na Taratibu za Rumi ya kale
MTAFUTENI YESU WA KWELI NA MAFUNDISHO YAKE
SIjui makanisa mengine yanafanyaje lkn mimi nakumbuka kwenye msiba wa baba yangu zile sadaka tulikabidhiwa wana familia tena hazikuwa zimehesabiwa, tukazihesabu na zote tulirudisha kanisani kwaajili ya kuombea misa. Tuliomba misa kila siku kwa mwaka mzima zilitosha.Tuanzie kwanza kujua hiyo sadaka inakusanywa bei gani?kisha tuichanganue kwamba imetumika vipi kwa mifano tu lakini
Ili Padre afike hapo msibani alikuja na gari,gari si inatumia mafuta?wewe mleta mada unadhani zile sadaka huwa zinafika bei gani hata tuanze kukazia kuzidai?(kama kweli ni Mkatoliki) unaujua umuhimu wa marehemu kuombewa misa?unajua kwanini bila kujali imepatikana kiasi gani ni lazima sadaka hii iwe ni kwa ajili ya misa ya marehemu huyu tu?
Anzisha uzi ukajibiwe kule. Hapa tunaongelea sadaka mkuuYani unaliamini KANISA kahaba Hadi Leo??????!!!!!!