Kanisa Katoliki mje hapa, maana nimesema kwenye vikao hamfanyi

Huyu jamaa kabisa amekaa akatafakari akaona alete hii kama hoja, wonders shall never end
 
Umeandika ili uonekane na wewe upo
 
Kwani kanisani hamtoi sadaka hadi wachukue rambirambi?
 
Kwani sadaka inayotolewa kanisani siku ya ibada hawezi tumika kunununulia mafuta ya kumpeleka paroko msibani mpaka mkamtoze marehemu?
 
Kama inakusumbua ondoka utuachie Parokia yetu! Unafikri ndugu wakipewa hiyo sadaka watenda kweli kuomba Misa? Utaratibu mzuri huu!
 
Yani unaliamini KANISA kahaba Hadi Leo??????!!!!!!

1. Papa Muwakilishi WA MUNGU Duniani.

2. Bikra Malia anaombewa Hadi Leo na kuwaombea

3. Mnaabidu USHIRIKINA WA Rozali (zipo wapi Rozali kwenye BIBLIA)!!!!

4. MMEJAZA masanamu kanisani Kila kona.

5. Walevi WA pombe.

Achaneni na miungu na Taratibu za Rumi ya kale

MTAFUTENI YESU WA KWELI NA MAFUNDISHO YAKE
 
Kwa leo nipo na hoja hiyo tu.haya mengine si muda wake.
 
SIjui makanisa mengine yanafanyaje lkn mimi nakumbuka kwenye msiba wa baba yangu zile sadaka tulikabidhiwa wana familia tena hazikuwa zimehesabiwa, tukazihesabu na zote tulirudisha kanisani kwaajili ya kuombea misa. Tuliomba misa kila siku kwa mwaka mzima zilitosha.
Tungeamua kutopeleka zote tungeweza pia.
 
Anzisha uzi ukajibiwe kule. Hapa tunaongelea sadaka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…