CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hili la kuchukua sadaka msiban hata Mimi nakuunga mkono. Miaka ya nyuma lilinikwaza sana baada ya kumuona Mama mmoja mjane wamechukua kila kitu hawakumuachia kitu.
Nje ya mada:kanisa sikuhizi uungwana hamna...tena sisi jobless ndo tumetengwa
mana hatutoi zaka1,mavuno sijui michango mfuko wa jumuiya,mara ada ya WAWATA jimbo.oh sijui majitoleo ya nini
usipotoa unaambiwa hufai
Bikla Malia ndiye nani huyo?Dunia ya utandawazi Kila kitu limeandikwa MAARIFA kibao. Biblia umeandika wazi kabisa kuhusu KANISA kahaba
Nimecheka kweli yani!!!??
Endeleeni kuabudu Miungu ya BIKLA Malia.
Sanamu za BIKLA maria.
Rozali na uSHENZI MWINGINE.
PUMBAFU KABISA.