Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

Watu wanashindwa kujibu hoja, badala yake wanakimbilia kwenye udini, uzanzibar na u mama.

Watanzania hatuna shida na Uzanzibar, Udini wala u jinsi.

Tunachohitaji Kiongozi yeyote afanye kazi kwa kuongozwa na uzalendo kwanza.
 
Afanyie kazi ripoti ya CAG kwanza na waliotajwa wawajibishwe ndio hayo mambo mengine yafuate, bado kama tumekosa taasisi imara za kusimamia mapato na rasilimali zetu bado tutapigwa tu.
Kiukweli wabongo tumejaa uchu na ulafi wa kila namna na hapo bandarini watu wamepiga sana ila jitihada haziweza kuzaa matunda au kuleta ufanisi tufanyaje?
Tubinafsishe au tuongeze jitihada zaidi za kuleta ufanisi na umakini?
 
Kanisa katoliki Lina taratibu zake na hutoa matamko kupitia baraza la maaskofu huwa halipangiwi na mtu yoyote.
Katika Hilo baraza limejaza wasomi wenye uwezo wa Hali ya juu hivyo halihitaji msaada wa kulisemea.
 
mbona udini unazungumziwa sana safari hii kuliko miaka mingine ?
 
Kwa case ya huyu maza huyu kapewa na shetani aisee.

Mtu huwezi kuwa mwovu namna hii ukawa na mahusiano mazuri na Mungu.
 
Umeongea kama nani
 
Tushajua mnachuki za kidini. sasa na sisi tumeanza kuwaambia waislamu wenzetu kuwa hili suala sio bandari kupewa mrwabu tatizo ni udini kama mbwai mbwaii.

Tumewachoka na chokochoko zenu pindipo rais akiwa muislamu
Yaaani hiii inchi bwana same time natamani tupigwe wote bei basi tanganyika isiwepo tena [emoji848][emoji848][emoji848] hivi alie sema kuwa mwarabu ni muislamu ni nani?

Na kwaio mnataka kutuaminisha kuwa waarabu wote ni waislamu? Nakinacho pingwa ni uislamu au mkataba wa dpw?


Acheni ushamba na umbululula kuweni na akili ata ya kukutoa chooni kila kitu msaidiwe bwana[emoji34][emoji34][emoji34]
 
ACHA KUMDHIHAKI MUNGU WAKO, MUNGU HANA MAKAZI OYSTERBAY AU MANZESE NA SIDHANI KUWA NI MJOMBA WAKO.
 
Ipo tofauti kati ya "same time" na some time, usingetumia same time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…