Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kanisa Katoliki Tanzania linabebwa sana na Serikali ya Tanzania. Hvyo, wanajua kufarakana na Serikali ni sawasawa na kujitia kitanzi!Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.

Kanisa Katoliki Tanzania linabebwa sana na Serikali ya Tanzania. Hvyo, wanajua kufarakana na Serikali ni sawasawa na kujitia kitanzi!
Wakati wa Nyerere, Mwinyi hakuwa papa Francisco na diplomasia kaanzisha yeye.kwa hiyo kuna CDF mwengine aliwahi kwenda?
je kuna mtanzania mashuhuri ngazi ya serikali aliwahi kwenda kuoshwa miguu if that is the case!
kuhusu memo ...hebu niletee memo za namna hii kipindi cha Nyerere,Mkapa,Mwinyi n.k.
na wewe unaingia kwenye mkumbo kuwa tukio hilo ni la kwaida??
We pungo hii si mads ya Uislamu na Ukristu π.Watu wabadanganywa sana .
Mali za kanisa leo zikirudishwa mbona serikali itayumba sana.
Nyerere alifahya busara kubwa kuijenga Tanganyika moja lakini walipokuja wachawi kutoka Zanzibar na Oman ndio walioanza kuleta siasa za Udini na hawakujali historia kubwa ya kanisa katika kuleta maendeleo baada ya uhuru na kabla ya uhuru .
Uislam ulikuwepo zaidi ya Karne saba lakini hakuna HAWAKUA NA shule zaidi ya kumi tena zote zimejengwa baada ya Mzungu Mkristo kuja Tanganyika. Kama wanabisha leo watuonyeshe Shule za seminari za Kiislam 20 kule Zanzibar au hospitali au chuo kikuu au taasisi yoyote ya kiislam yenye zaidi ya miaka mia mbili maana Uislamu upo Zanzibar zaidi ya karne Saba .
Kwa hiyo kusema eti kanisa linabebwa na serikali ya CCM ni upungufu wa hekima na upumbavu wa kina shehe Mwaipopo na genge lake lake la wachawi na wafuga majini .
Kanisa Anglikana na Lutherani mali zao mpaka leo zimepotea kabisa na kujikuta wakiwa na madeni makubwa sana na serikali haijawahi kuwasadia kulipa kwenye mabenki halafu anasikika mfuga majini na mchawi mmoja akisema ooh kanisa linapewa pesa kwenye mkataba wa MOU .Pumbavu kabisa .
Yaani serikali kuajiri madaktari na kutoa dawa kwa wagonjwa kwenye hospitali za serikali bila kubagua dini ndio pesa zinawafikia wakristo .
Kwa nini hawaangalii jinsi wakristo wamavyoumizwa na michango ya kujenga hizo hospitali halafu waislam wanakuja kupata ajira bure bila kuchangia chochote kwenye ujenzi huo.
Ni mkristo yupi maskini anayepewa pesa na serikali au hata kukopeshwa pesa isiyo na riba kwa sababu ya Ukristo wake na huo mkataba wa kutoa pesa kwa makanisa .
Lakini kama kuna watu binafsi wanaonufaika na serikali na Pesa zake basi ni Waisalam hasa Bakwata .
Wakristo wanachanga kujenga mpaka choo cha kanisa na kila kitu hakuna hata mia inayotoka kwenye mfuko wa serikali .
Na kama kuna fungu linatoka huko kwenye hazina basi muwaulize akina Mwigulu na Samia kuwa zinawanufaishaje wakristo wale maskini ?
Au ndio zinatoka hazina halafu zinaishia kwenye mifuko ya Machawa wanaojificha kwenye ukristo na ukada wa CCM ndio maana hata Rais Muislam anakaa kimya na kuona pesa za kodi ya watanzania wote zinaingizwa kwenye akaunti za Wakristo kuwanufaisha peke yao wakati waislam hawapati kitu ?
Viongozi wa dini ya kikristo nao watoke watuambie WAZI Kama madai ya serikali kutoa pesa kwa makanisa ni ya kweli ili tujue kumbe kuna mabilioni yanatoka halafu wanatusumbua na michango isiyoisha kila mwaka ! Maana hata zikiingia Bil. 50 ni pesa nyingi sana ambazo zinatosha kabisa kuendesha kanisa nila Sadaka .
Na pia serikali ije ijibu kuwa ni kwa nini itoe pesa kwa Wakristo tu lakini isitoe kwa Waislam?
Na Je , kwa wakristo inatoa kwenye madhehebu yapi ?;maana Wakristo wana madhehebu zaidi ya 10 kidogo
Wewe ni mavi ya nguruwe .We pungo hii si mads ya Uislamu na Ukristu π.
Tatizo la kunywa mafuta ya Mwamposya limekufanya una harisha ujinga.
We pungo hii si mads ya Uislamu na Ukristu π.
Tatizo la kunywa mafuta ya Mwamposya limekufanya una harisha ujinga.
Jingalao katika mambo ya ujinga. WakeHilo jina huwa linatajwa sana kwenye thread zangu sishangai
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Roma haiwez kutetea waonevu na wahalifuSoma basi mada yangu vizuri
Hospitali za Kanisa zipo kwasababu ya MOU baina yao na Serikali. La sivyo hospitali zingeishaacha ku operate. Bugando bila mkono wa Serikali nani angelienda kutibiwa!? Kwa gharama ipi?Watu wabadanganywa sana .
Mali za kanisa leo zikirudishwa mbona serikali itayumba sana.
Nyerere alifahya busara kubwa kuijenga Tanganyika moja lakini walipokuja wachawi kutoka Zanzibar na Oman ndio walioanza kuleta siasa za Udini na hawakujali historia kubwa ya kanisa katika kuleta maendeleo baada ya uhuru na kabla ya uhuru .
Uislam ulikuwepo zaidi ya Karne saba lakini hakuna HAWAKUA NA shule zaidi ya kumi tena zote zimejengwa baada ya Mzungu Mkristo kuja Tanganyika. Kama wanabisha leo watuonyeshe Shule za seminari za Kiislam 20 kule Zanzibar au hospitali au chuo kikuu au taasisi yoyote ya kiislam yenye zaidi ya miaka mia mbili maana Uislamu upo Zanzibar zaidi ya karne Saba .
Kwa hiyo kusema eti kanisa linabebwa na serikali ya CCM ni upungufu wa hekima na upumbavu wa kina shehe Mwaipopo na genge lake lake la wachawi na wafuga majini .
Kanisa Anglikana na Lutherani mali zao mpaka leo zimepotea kabisa na kujikuta wakiwa na madeni makubwa sana na serikali haijawahi kuwasadia kulipa kwenye mabenki halafu anasikika mfuga majini na mchawi mmoja akisema ooh kanisa linapewa pesa kwenye mkataba wa MOU .Pumbavu kabisa .
Yaani serikali kuajiri madaktari na kutoa dawa kwa wagonjwa kwenye hospitali za serikali bila kubagua dini ndio pesa zinawafikia wakristo .
Kwa nini hawaangalii jinsi wakristo wamavyoumizwa na michango ya kujenga hizo hospitali halafu waislam wanakuja kupata ajira bure bila kuchangia chochote kwenye ujenzi huo.
Ni mkristo yupi maskini anayepewa pesa na serikali au hata kukopeshwa pesa isiyo na riba kwa sababu ya Ukristo wake na huo mkataba wa kutoa pesa kwa makanisa .
Lakini kama kuna watu binafsi wanaonufaika na serikali na Pesa zake basi ni Waisalam hasa Bakwata .
Wakristo wanachanga kujenga mpaka choo cha kanisa na kila kitu hakuna hata mia inayotoka kwenye mfuko wa serikali .
Na kama kuna fungu linatoka huko kwenye hazina basi muwaulize akina Mwigulu na Samia kuwa zinawanufaishaje wakristo wale maskini ?
Au ndio zinatoka hazina halafu zinaishia kwenye mifuko ya Machawa wanaojificha kwenye ukristo na ukada wa CCM ndio maana hata Rais Muislam anakaa kimya na kuona pesa za kodi ya watanzania wote zinaingizwa kwenye akaunti za Wakristo kuwanufaisha peke yao wakati waislam hawapati kitu ?
Viongozi wa dini ya kikristo nao watoke watuambie WAZI Kama madai ya serikali kutoa pesa kwa makanisa ni ya kweli ili tujue kumbe kuna mabilioni yanatoka halafu wanatusumbua na michango isiyoisha kila mwaka ! Maana hata zikiingia Bil. 50 ni pesa nyingi sana ambazo zinatosha kabisa kuendesha kanisa nila Sadaka .
Na pia serikali ije ijibu kuwa ni kwa nini itoe pesa kwa Wakristo tu lakini isitoe kwa Waislam?
Na Je , kwa wakristo inatoa kwenye madhehebu yapi ?;maana Wakristo wana madhehebu zaidi ya 10 kidogo
Hospitali za Kanisa zipo kwasababu ya MOU baina yao na Serikali. La sivyo hospitali zingeishaacha ku operate. Bugando bila mkono wa Serikali nani angelienda kutibiwa!? Kwa gharama ipi?
SAUT ilianza kupanda chati baada ya kuanza kupata ya Wanafunzi kuanza kupata Mikopo. Kabla ya hapo kalikuwa kachuo kadogo sana ila muda mreeeeefu!!
Alisikika mlevi mmoja wa ulansi pande za semtemaKatoliki ndio Serikali yenyewe π
JK = Tosamaganga seminaryAlisikika mlevi mmoja wa ulansi pande za semtema
Kwa hiyo serikali iendelee kutesa watu na kuua kisa kanisa linashirikiana nayo? We hulijui kanisa. Kama jpm jiwe alipelekeshwa mpaka akafa kwa presha na Mungu akamkataa sembuse samiaWapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwamba umeona wivu Papa kushikana mikono na Samia?Ni haramu kwa Mwanamke wa kiislam kushikana mkono na mwanamme asiye mume wake au kaka yake wa kuzaliwa au baba yake mzazi .
Uhusiano wa Kanisa na nchi ya Tanzania haimaanishi kanisa likae kimya watu wanapouawa na kuvunjwa kwa sheria na katiba kila unapofika wakati wa uchaguzi ili tu Mgombea wa CCM ashinde kwa hila na wizi wa kura na rushwa.
Samia analichukia Kanisa katoliki kwa sababu walipinga uuzwaji wa bandari na eneo lote la kurasini .
Lakini pia walipinga kufukuzwa kwa Wakasai kinyama kule Loliondo na wakatoa na sababu nzuri tu na za kihistoria lakini Samia alijaa hasira na chuki kubwa dhidi ya Ukristo hasa kabisa katoliki Tanzania . Hajawahi kujibu hoja za Maaskofu wala kuwaita badala yake aliruhusu kuundwa kwa vikundi vya mawakala wa magaidi kama Shehe Mwaipopo,Mwijaku na shehe Sule kuwajibu kwa dharau na kejeli kubwa .
Yaani mtu anasema maaskofu wanaleta chokochoko halafu unataka tuamini kuwa unajenga mahusiano na kanisa katoliki au unabomoa uhusiano huo uliojengwa kwa miaka mingi na sasa unaubomoa kwa sababu ya utawala wako wa miaka mitatu na kulazimisha mitano tena kisha tuachieni nchi ya Tanganyika iliyogawanyika na kusambaratika !!
Kwamba umeona wivu Papa kushikana mikono na Samia?
Hivi una ushahidi wa Faili lolote lililofika mezani mwa Rais Samia linalohusu maaskofu halafu yeye kwa mkono wake akaagiza kuundwa kwa kikundi cha magaidi??