Kanisa Katoliki Tanzania lina ushirikiano mkubwa na Serikali kamwe hawatafarakana!

Huo ndio uswahili na ujinga unaotugharimu Waafrika .

Kupiga picha kunasaidia nini Rasilmali zetu kuuzwa kizembe ,Picha inatusaidia nini madai ya kuwa na tume huru isiyotokana na uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM peke yake wakati anashiriki uchaguzi ?
picha ya kagame na mkewe kwenye avatar yako ina msaada gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…