Kanisa kenya limegeuka soko

Wakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
 
***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣
Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣
 
Wako sahihi kwa 100% sababu dini ni Biashara, Wengi hawajalijua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…