Kanisa kenya limegeuka soko

Kanisa kenya limegeuka soko

Wakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
 
***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣
Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣
 
Back
Top Bottom