Kanisa kenya limegeuka soko

Kanisa kenya limegeuka soko

Ni lazima upumbazwe,ndio maana siwezi kumruhusu Mchungaji ,nabii au mtume nisiyemuamini aniwekee mikono ,Huwa wanaamisha nguvu zao ambazo ndio hizo zinakufanya unakuwa msukule wao
Sure kabisa
 
Aliyepafanya mahali pale pawe pa kuabudia ni mtu huyohuyo.Akipabadilishia matumizi atakuwa amekosea nini?
 
Makanisa yote ni masoko tu kwa sasa
Wanabadilishana vitu kuwa pesa.
 
Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
Wakristo mnafeli wapi mbona mko hivi JAMANI nili mtakomboka kutoka katika dhulma hizi
 
Back
Top Bottom