Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Mkenya umesahau kufuta hiyo.
soma na huko chin yaan kipind wakristu wa hilo kanisa wanasherehekea sikukuu yao, waisrael wakiwa wanashambulia huko Gaza wapalestina wameona wakajihifadhi humo ndan
 
Wakristo tunafundishwa UPENDO kwa watu wote, sio kuwaua wasio Wakristo

Inapendeza sana

Ndugu yangu Mlolongo Mjingamimi Kikwajuni One na FaizaFoxy karibuni katika Ibada ya Kanisa la Adventist Wasabato jumamosi ijayo ndugu zangu.
Wadanganye wasioijuwa bibilia:

LUKA 19:
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
 
Angalia hyo picha.kuna mavazi ya waislam?angalia wanawake wame vaa hijab?. Mleta madam ni MUONGO MUONGO.waislam tunajuana
[emoji23][emoji23][emoji23] hamas oyeee , wamekiwasha hlf wamewaachia msala wapalestina1
 
Wadanganye wasito ijuwa bibilia:

LUKA 19:
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Basi watakuwa wameiga maneno ya Quran yanayoruhusu mauaji
Screenshot_20231015_091910.jpg


Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini unaweka full stop katikati ya sentensi?

Andika hata kiarabu kutoka kulia kwenda kushoto nitaelewa
Ungekuwa unajua hilo.ungesoma kwanza habari kabla ya kuja kunijibu.umejiona vile hauna akili?
Haya mwambie mleta mada wewe ni kiazi
 
Mkuu Kwa hiyo Mtu akivaa suti anakua sio muislam
Inamaana huyu wa chini sio muislam kisa kaulamba msuti wa bei Kali 😂😂😂
download (12).jpeg

Unaona hizo suti?ebu tulia angalia hizo picha.alafu nioneshe muislam yupo wapi ?picha zinaonesha kabisa watu wapo kanisani wanaendelea na ibada yeye anasema wapo kwenye hifadhi.kwenye hifadhi ungewaona wamesimama?hata watoto hawapo.aache uongo
 
Back
Top Bottom