Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Narudia tena kuandika hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kuingia kwenye kanisa la wengine na kufanya uharibifu.

Kama kuna tofauti imetokea miongoni mwa viongozi kwa viongozi, viongozi kwa waumini au waumini kwa waumini hakuna mshirika atakayefikia uamuzi wa kwenda kuingia kanisani kufanya uharibifu huo. Hata kama ni vibaka, ni kibaka gani huyo asiye na hofu na Mungu?

Huyo kibaka au mwizi na jambazi amekulia wapi kiasi cha kukosa hata mafundisho ya watoto ya shule ya jumapili? Kwanza kanisa ni mahali patakatifu na ni nyumba ya kumuabudu Mungu.

Hata wavuta bangi na walevi wanaheshimu nyumba za kuabudia
Akili kiduchu[emoji108]
 
Am Proud Catholic na niko very proud na Mapadre na Viongozi wangu wa Imani.Huwezi kunidrag kwenye upuuzi wa kukashf imani za wengine,sikulelewa hivyo na misingi ya Iman yangu inanikataza.

Haya endelea na hao wengine mbagazane mpaka mshindi apatikane apewe trophy[emoji4]

Mbona unazidi kubabaika? Kwani kuna mtu alikuingiza ukatoliki na Sasa anataka utoke?
 
Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.

Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.

Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
Hahahaha si yule jamaa wa Southern Highland huko au? Fungueni code hiyo maana hata kutaja mkoa naona noma, jamaa nilimkuta anakula bia mixer makali yuko na washkaji zake kwenye duka lake la mvinyo story zinazopigwa hapo hutoweza kutamani kwenda kanisani maana wahuni wana mambo lundo, moja ya story ilinivutia sana ni pale mmoja wao alipokuwa akimsifia boss wake mmoja kuwa ni mtu poa sana kipindi chake yeye ndio alikuwa mhasibu wake walikula maisha hamna mfano yaani jamaa ni mtu wa watu sana [emoji2][emoji2]
 
Kamanda ETUGRUL BEY umeandika haqi kabisa....

Katika suratul baqara mwenyezi mungu asema laa ikra fii din yaani hakuna kulazimishana katika dini wala huwezi kumlazimisha mtu kuingia katika uislma au kumfosi muislam kufanya jambo flani la dini...

Hata enzi za mtume kama ulivyosema ilikuwa ni haram kumpiga na hadi sasa ni haram kumpiga mtu vita haliyakuwa yupo katika jumba lake la ibada

Watu wasiwe negative sana hata sie waislam misktini huwa twaibiwa mbona sema sisi majambo yetu maranyingi yaishia huko huko miskitini ni nadra kusikia lakini kwaibiwa haswa!

Tusiwe negative jamani
Motive ya wahalifu hawa haikua wizi
 
Am Proud Catholic na niko very proud na Mapadre na Viongozi wangu wa Imani.Huwezi kunidrag kwenye upuuzi wa kukashf imani za wengine,sikulelewa hivyo na misingi ya Iman yangu inanikataza.

Haya endelea na hao wengine mbagazane mpaka mshindi apatikane apewe trophy[emoji4]

Siku yakikukuta usije kujuta

Wahusika watakufa wote ni muda tu.
hakuna lolote litakalowapata. Tena walitakiwa wanyee na kukojolea humo kabisa. Kuna wenzenu walisema hivyo hivyo mbagala huko eti ukichana quran utakuwa chizi, mtoto mdogo tu akachana na akaikojolea when nothing happened wakaanzisha fujo kuwa kitabu chao kimedharauliwa😂😂😂enyi watu sijui upumbavu utawaisha lini
 
Am Proud Catholic na niko very proud na Mapadre na Viongozi wangu wa Imani.Huwezi kunidrag kwenye upuuzi wa kukashf imani za wengine,sikulelewa hivyo na misingi ya Iman yangu inanikataza.

Haya endelea na hao wengine mbagazane mpaka mshindi apatikane apewe trophy[emoji4]
Watakapowabandua watoto wako ndo akili zitakukaa sawa
 
Hahahaha si yule jamaa wa Southern Highland huko au? Fungueni code hiyo maana hata kutaja mkoa naona noma, jamaa nilimkuta anakula bia mixer makali yuko na washkaji zake kwenye duka lake la mvinyo story zinazopigwa hapo hutoweza kutamani kwenda kanisani maana wahuni wana mambo lundo, moja ya story ilinivutia sana ni pale mmoja wao alipokuwa akimsifia boss wake mmoja kuwa ni mtu poa sana kipindi chake yeye ndio alikuwa mhasibu wake walikula maisha hamna mfano yaani jamaa ni mtu wa watu sana [emoji2][emoji2]
Mkuu hawa watawa ukiwakuta kwenye angle zao wala usiwa judge sana! majoho na utumikiaji huwekwa pembeni, anakula kilaji na kichwa cha chini kikhwaka tamaa anakihudumia vizuri either kwa mke wa mtu ama moja ya wanakondoo binti mtekemteke.
Wapambe wao wanayajua mengi ya sirini yawahusuyo mapadre...!

Huyo nnaye mjua mimi aliwahi kutumikia huko jimbo la geita akahamishwa ila miradi yake bado ipo kule.
 
Yaani hiyo wamevunja mguu, hawa jeuri kweli kweli!!!
20230227_125925.jpg
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.

View attachment 2530631

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.

Chanzo: EATV
Wakatoliki wakiona hilo sanamu hapo limevunjika sijui wanajisikiaje, kesho watatengeneza jingine wakalipigie magoti
 
Am Proud Catholic na niko very proud na Mapadre na Viongozi wangu wa Imani.Huwezi kunidrag kwenye upuuzi wa kukashf imani za wengine,sikulelewa hivyo na misingi ya Iman yangu inanikataza.

Haya endelea na hao wengine mbagazane mpaka mshindi apatikane apewe trophy[emoji4]
Umeamua kurudisha mpira kwa Kipa baada ya kukosa hoja?
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom