Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
ContemporaryProject inaanza lini ..?
Na je ujenzi ni Gothic au ni hizi temporary za kileo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ContemporaryProject inaanza lini ..?
Na je ujenzi ni Gothic au ni hizi temporary za kileo??
Kwa wakatoliki bilioni 50 ndogo sana wakianza michango hasa ndani Jimbo kuu la DSM.Hili jengo linaweza kuwachukua miaka 20 mpaka kukamilika kwa viwango hivi, huku gharama yake ikiwa kati ya Bil 30 - 50.
Kigamboni.Gezaulole iko maeneo gani mjini dar es salaam?
Ni zaidi ya 20 ndugu. Dekania ya mbezi tu ina parokia 10,iweje dsm nzima ziwe 20.Jimbo la Dar es Salaam Lina parokia zaidi ya 20,michango itapita hapa miaka 3 Hadi 4 litakuwa limekwisha.
Lawama malalamiko kutoka kwa naniNaam litajengwa ila kwa lawama na malalamiko mengi.
Linastahili!Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4.
Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box maungamo 6 Sacrarium
Lift ya kwenda juu na basement Cathedral square ipo nje Ghorofani Waiting lounge watu 120-150 Ofisi 4 Store 4 Archive Makanisa madogo 2; Watu 200 Basement
Makaburi 12 ya chini Makaburi ya ukutani Vituo 14 njia ya msalaba Kanisa la kuabudia watu 220 Strong room Handaki.
View attachment 2752329
Wapumbavu nyie mawakala wa umaskini.
Gezaulole iko maeneo gani mjini dar es salaam?
yaani unaumia Mungu akipewa buku utadhani Mungu ni mke mwenzio.Mnaona msivyo na akiri. Hizo hela kwa Mungu ni za nini? Uko mbinguni ananunua nini? Huwa anashuka kuja kuzichukua? Dini ni scam.
Aha ha ha ha nimecheka kwa sauti, kuna watu wana roho za kikorokwinyo.yaani unaumia Mungu akipewa buku utadhani Mungu ni mke mwenzio.
viongozi wa dini ni watumishi wa Mungu, wanapokea sadaka kwa niaba ya Mungu. Mungu ana wawakilishi wake, ana mabalozi wa siri zake. Makuhani, manabii na mitume ndio wawakilishi wake duniani. Pia ana wajumbe wake huko mbinguni wanaitwa malaika. Malaika ni kama kikosi maalumu kwa kazi maalumu kama ilivyo kwa vikosi maalumu vya kijeshi yaani special forces for invisible operation. Mungu ni mkubwa na mawazo yake hayachunguziki utaumiza kichwa bure kutaka kuchunguza ukubwa wakeMnaona msivyo na akiri. Hizo hela kwa Mungu ni za nini? Uko mbinguni ananunua nini? Huwa anashuka kuja kuzichukua? Dini ni scam.
Issue sio kukaririshwa! Issue ni kujifanya hujui wakati unajua kuwa haya ni maneno kutoka kwa Mungu mwenyewe na hayajawahi kubadilika, na suala la sanamu mnajifanyia (hamkuagizwa popote mfanye!), mnalisujudu, mnatoa sadaka, mnatubu mbele yake, na mnalibeba na kulitembeza barabarani wakati hiyo ni ibada ya kipaganiWasabato mmekaririshwa! Nani alikwambia Wakatoliki wanasujudia hizo sanamu humo Kanisani? Hizo zinatumika katika kutafakarisha! Umewahi kusoma ile habari ya nyoka wa shaba aliyetengenezwa mbele ya wana wa Israeli? Mbona hiyo hukulalamika kwamba ni sanamu?
Wewe wakala wa utajiri umejenga viwanda vingapi?Wapumbavu nyie mawakala wa umaskini.
Allah akuongoze katika Uislam.We usitoe ramani yetu hadharani magaidi aka mnyaazi wasijekuja lipiga bomu 🤣🤣wao wanagombea vifrem vya urithi
Kanisa katoliki Lina viwanda,vyuo vya ufundi,vyuo vya uuguzi,vyuo vikuu,shule zote,mashamba ya kilimo,Apartments,Benki TV,Redio nk..sasa unataka lifanye kipi ikupendeze Mzee.Acha mengine yapite.Kila watu wanapopost Dar es Salaam hawaachi kutumia picha ya st.Joseph Cathedral bila kujali dini ya anayepost kizuri hupendwa na Kila mtu.Mimi mwenye nikionaga miskiti mizuri navutiwa sio kwa mambo yake bali usanifu wakeMaskini waafrika, hela zote hizo za kujenga kanisa si wajenge kiwanda kiajiri maelfu ya vijana wapate ajira na kipato. Makanisa na misikiti ni mawakala wa umaskini kwanza yanadumaza akili pili yanachukua hata kidogo walichonacho masikini eti ni sadaka na fungu la kumi.
Huu utumwa sijui utaisha lini maana yatupasa kujenga vitega uchumi vyetu kama viwanda badala ya misikiti na makanisa ambavyo ni vitega uchumi wa mwarabu na mzungu.
Kwani kuna tatizo wakijenga msikiti ?Waarabu wa Dubai watakuja kujenga msikiti mkubwa hapo kigamboni. Wenye thamani ya bilioni 1.
Wivu wa mama mjamzitoMaskini waafrika, hela zote hizo za kujenga kanisa si wajenge kiwanda kiajiri maelfu ya vijana wapate ajira na kipato. Makanisa na misikiti ni mawakala wa umaskini kwanza yanadumaza akili pili yanachukua hata kidogo walichonacho masikini eti ni sadaka na fungu la kumi.
Huu utumwa sijui utaisha lini maana yatupasa kujenga vitega uchumi vyetu kama viwanda badala ya misikiti na makanisa ambavyo ni vitega uchumi wa mwarabu na mzungu.
Mpaka 2022 zilikuwa 124, mwaka huu nadhani zimeongezeka nyingine kadhaa sikumbuki vzr.Ni zaidi ya 20 ndugu. Dekania ya mbezi tu ina parokia 10,iweje dsm nzima ziwe 20.