Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Hatari, haya ni mauaji ya kitaalamu. Technical suicide.sio kumdhalilisha tu kamuua kabisa maana kama mwepesi unaweza kujitundika kabisaa!
Huyo dada akimpata mtaalam wa sheria akamshitaki huyo jamaa anavuta kapesa kakusukumia siku.