Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

Worst mindset ever of the so called bishop, huyu alitakiwa kutumia uchungaji au uaskofu wake kumsaidia huyo binti anayepitia kipindi kigumu kwasababu na yeye hakupenda awe hivyo
Sisi Africa tunatatizo mahali hasa hasa kwenye kufikiria, yani mchungaji ameamua kumchukua Aliye mzima ili akatoe ushuhuda, Baadala ya kupambana na kipofu ili apate kuona.
 
Mchungaji aliyefungisha ndoa anatatizo gani? Jukumu lake labda Ni kuhakikisha wanapima hiv kabla ya ndoa(japo sio lazima Sana kwa baadhi ya makanisa) na kija a wamejaribu kupata ushauri wa kidaktari amethibiyisha? Kama ndugu wanasema Ni imani za kishirikina binti angeweka wazi kabla ya ndoa ili walisgughulikie Hilo Ni swala dogo Sana Kuna kufungiwa kupata ujauzito , hata nguvu za kiume wengi wanaoa lakini hawawezi kulala na wake zao kitendo Cha kutokuwa na maziwa na kuweka nguo hata Kama angekuwa na uke Ni tatizo tayari, inatakiwa wazee wa kanisa wakae vizuri na vijana na wawahoji kiundani zaidi kuhusu haya mambo haya katika mchakato wa uchumba. Narudia tena huyo mchungaji aliyefungisha ndoa hana tatizo hata na binti hapaswi kulaumiwa Sana tatizo Ni mfumo mzima uliotumika...kijana alikuwa na haraka ya kufukuza mke na kutenganana kanisa Ni Nani waliopokea mahali ya binti?Nani aliyemuogesha binti akiwa mtoto mdogo? Mapengo Ni mengi Sana...
 
Sisi Africa tunatatizo mahali hasa hasa kwenye kufikiria, yani mchungaji ameamua kumchukua Aliye mzima ili akatoe ushuhuda, Baadala ya kupambana na kipofu ili apate kuona.
Sikuna waliopewa mamlaka za kusamehe makosa ya watu? Sasa hata yasiyo wahusu wanaambiwa wayatatue
 
Sikuna waliopewa mamlaka za kusamehe makosa ya watu? Sasa hata yasiyo wahusu wanaambiwa wayatatue
. Hayo mamlaka wamepewa na nani??

. Hii ni mifumo ya kibinadam tu... Tuliamua kugawana majukumu kulingana na uelewa wa kitu fulani.

. Hizi dini zililetwa na wahuni tu.. Ili kutucheleweshea maendeleo yetu ya Africa.
 
Habari wadau,

Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.

Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.

Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".

Duuh mbona mpya hii!?
 
Hakuona hilo wakati wa uchumba? Jamaa alinunua shati dukani na akaambiwa ni size yake, hakuna haja ya kulijaribu. Akalipa na akaondoka, ila tiketi imeandikwa ",ukilipia bidhaa hakuna kurudisha kama mkataba" kufika nyumbani shati halimtoshi, atafanyaje? Ila ni uzembe wa mnunuzi, angelijaribu kwanza.
 
Back
Top Bottom