Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Status
Not open for further replies.
Huyu Mpelelzi Mkuu wa Kanda Maalumu, aliekwenda kukagua bomu feki Bw. Ahmed Msangi si ndio yule jamaa yake Dk. Ulimboka??
Mara hii kashapanda cheo?
 
Kanisa zuri sana, wahuni wanataka kulilipua

Mkuu huwa najiuliza hasa hivi wahuni ni watu wa aina gani hadi wafikie kufanya haya?

Wahuni walimpiga risasi padri Zanzibar
Wahuni walianzisha vurrugu kule buselesele
Wahuni walirusha bomu Arusha kanisani
Wahuni walirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha

Hawa wahuni wana nguvu kiasi gani?
Wanayatoa wapi yote hayo?
Wanapata wapi mabomu?
 
Hapa sio suala LA usalama ni suala la udhaifu wa huyu wa kiwanja cha ndege SAA nyingine udikteta unahitajika kwenye kuongoza na kutoa maamuzi sasa anacheka Cheka tuu jamani Mungu atusaidie tunapoelekea ni pabaya a.alize aondoke me simpendi hata kidogo na wenzie wooote wasiokuwa na maamuz
 
Mkuu huwa najiuliza hasa hivi wahuni ni watu wa aina gani hadi wafikie kufanya haya?

Wahuni walimpiga risasi padri Zanzibar
Wahuni walianzisha vurrugu kule buselesele
Wahuni walirusha bomu Arusha kanisani
Wahuni walirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha

Hawa wahuni wana nguvu kiasi gani?
Wanayatoa wapi yote hayo?
Wanapata wapi mabomu?

Very simple my friend, ccm na mwenyekiti wake wapo katika harati za kuchonganisha waislam na wakristu kwa kila hali.

Lengo, endapo wakristu na waislam watagombana basi ccm atabaki salama na watanzania hatakuwa wamoja tena.

Mchawi atatafutwa kanisani au atatafutwa misikitini na kwa maana hiyo ccm kuneemeka na ndoto ya kuitawala daima Tanzania.

..........................................................................................
 
Mkuu huwa najiuliza hasa hivi wahuni ni watu wa aina gani hadi wafikie kufanya haya?

Wahuni walimpiga risasi padri Zanzibar
Wahuni walianzisha vurrugu kule buselesele
Wahuni walirusha bomu Arusha kanisani
Wahuni walirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha

Hawa wahuni wana nguvu kiasi gani?
Wanayatoa wapi yote hayo?
Wanapata wapi mabomu?

Wahuni = Wanachama wa Chama Twawala!!
 
Kwa mwendo huu TZ itafika tuliko kusudia?
 
Wapelelezi wa jeshi letu ni kuchunguza chadema wamezidisha muda maana vitu vya maana awafanyi
 
Kanisa zuri sana, wahuni wanataka kulilipua

kama waumini wanataka kulilipua kwanini polisi wasiwakamate hao waumini au na wewe una mawazo yale ya ccm kuwa chadema walijilipua arusha na wakashidwa kuwakamata??
au sio kosa kisheria?
Hii nchi ngumu
 
KUHUSU BOMU LILILOTENGWA JIONI HII KANISANI KIJITONYAMA,POLISI WAMECHUKUA HATUA HII

Hofu kubwa imewapata waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Kijitonyama, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kurushwa kanisa hapo. Polisi wafika kanisa hapo na kuondoka na kitu hicho.
HABARI HII NI TOFAUTI NA ILE YA JAMA
ITV

1005225_639157012775882_890374929_n.jpg

....... Kwa binadamu mwenye akili zake timamu anaona wazi kabisa kwamba Jeshi la Polisi linazidi kupungua nguvu za kijitelejensia.... Jeshi la Polisi lizingatie sana utaalamu wa mambo jinsi yanavyokwenda katika kukabiliana na wimbi na uhalifu... liachane na maswala ya kuzuia maandamano tu... Jeshi la Polisi lina kazi nyingine nyingi za kulinda Raia na mali zao ..... ujambazi, ujangili, ufisadi na mambo mahafu ya waqtu wanaojaribu kuleta vurugu kama hizi za mabumu ya kutengenezwa Jeshi la polisi likabiliane na kupambana na mambo haya..... Tanzania ni ya amani tena amani kweli kweli...
 
Mkuu huwa najiuliza hasa hivi wahuni ni watu wa aina gani hadi wafikie kufanya haya?

Wahuni walimpiga risasi padri Zanzibar
Wahuni walianzisha vurrugu kule buselesele
Wahuni walirusha bomu Arusha kanisani
Wahuni walirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha

Hawa wahuni wana nguvu kiasi gani?
Wanayatoa wapi yote hayo?
Wanapata wapi mabomu?
We subiri siku yarushwe kwenye msafara wa mkuu, watakamatwa siku hiyo hiyo yaani ndani ya dakika sifuri, si unakumbuka yale ya ZE UTAMU?
 
Kichwa cha habari cha uongo lile siyo bomu kwa nini unapenda uongo huna aibu?
 
Walipue kwengine lakini sio kijito. Kijito kuna nguvu ya Mungu aliye hai.
 
....... Kwa binadamu mwenye akili zake timamu anaona wazi kabisa kwamba Jeshi la Polisi linazidi kupungua nguvu za kijitelejensia.... Jeshi la Polisi lizingatie sana utaalamu wa mambo jinsi yanavyokwenda katika kukabiliana na wimbi na uhalifu... liachane na maswala ya kuzuia maandamano tu... Jeshi la Polisi lina kazi nyingine nyingi za kulinda Raia na mali zao ..... ujambazi, ujangili, ufisadi na mambo mahafu ya waqtu wanaojaribu kuleta vurugu kama hizi za mabumu ya kutengenezwa Jeshi la polisi likabiliane na kupambana na mambo haya..... Tanzania ni ya amani tena amani kweli kweli...

Hakuna ambacho polisi hawakifahamu. mbona ya barlo wa mwanza haikuchukuwa mda wahusika wote wakadakwa......

Malengo nikulivuruga taifa ili wafanyabiashara ya dawa za kulevya, mafisadi nk wasalimike wasijepelekwa vifungoni.

Kwa wakuu wa nchi na ccm, kwao bora taifa liingie katika vita ya kidini lakin wao na ccm yao na familia zao wabaki

salama wasiende vifungoni, maana wameshaiba sana zakutosha wakifungwa atatumia nani?

Nijukum letu watanzania kwa pamoja bila kutetereka, tuungane bega kwa bega waislam na wakristu
kuipinga

mbinu hii ovu ambayo kama tutaishabikia tutateketeza taifa na hatutakuwa na urith kwa vizazi vijavyo.
 
Polisi Tanzania wanajiabisha sana, na wanaiabisha nchi pia kwa kutokamata wahalifu, sijui hata huko CCP huwa wanajifunza nini maana wakati wote sijawahi kuwaona wakifanya kazi yao kwa weledi.
Mhalifu bongo unauwezo hata wa kuua mtu Dar city center na uka escape kiwepesi tu! Eti mpaka leo hawajui Ponda kilimpata nini Moro, Hawajui Dr Ulimboka alitekwa na nani kiasi wanamwomba Dr awasaidie, inashangaza sana kwa kweli!! Mpaka leo Arusha hawajatuletea majibu ya kueleweka nani anahusika na milipuko kanisani.

Yaani nchi naionea huruma saana, kila idara ni hoovyo hamna mfano, Ee Mungu okoa inchi hii!!
 
Huyu mleta mada ni wale vijana wa bavicha waliozoe kudanganya watu sote tumesikiliza tarifa ya habari hakuna tv hata moja iliyothibitisha kuwa lile ni bomu sasa mwandishi habari ya bomu kaitoa wapi au ni kutafuta sifa kwa jamii.

Hebu soma vizuri hapo kwenye red kisha leta mawazo yako kwa mara ya pili tuyapime. Acha mambo yako yakiccm.

Back
Top Bottom