Shida ni kuwa vita vilivyopo sasa si kati ya watu na shetani,hapana vita vilivyopo sasa ni kati ya dini na dini,hawa wanajiona wao ni wa mbinguni wengine ni wa jehanamu,ili uende mbingini lazima uwe wa dini hii hakuna kitu kama hicho na hii imewafanya maaskofu,wachungaji,wainjilist waalimu na hata mashehe kuwa watumishi wa Dini sio watumishi wa MWENYEENZI MUNGU