Wewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Kikawaida huwezi kutenganisha dini na siasa/serikali kwakua dini ilianzishwa kwa lengo la kulainisha/walainishaji ili watawala watawale kirahisi. Agents of colonialism walikuwepo kitengo cha dini hivyo kusema unawakataza wasiseme ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe maana imeandikwa na hao waandishi wa bible kua heshimu mamlaka ilioko juu sasa kupingana na mafundisho mufundishayo ni maigizo. Na dini husajiliwa na wanasiasa. Maana tofuti zao ni kua wanasiasa huaidi maisha bora duniani na wanadini huaidi maisha bora mbinguni xo wote ni wazee wa ahadi tu.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Wanatapatapa kama wamepigwa rungu ya kichwa sahivi kila jumapili taarabu kibao
Siyo kwamba nyinyi ndiyo mnatapatapa! Tangu Kanisa lilipotoa hilo tamko, ni kulialia tu kama watoto wadogo. Si mrudi kwa Malasusa mkapige hivyo vichambo vyenu. Kwani ni lazima mje na Kanisani kwetu kuja kutuletea huo ujinga wenu!Wanatapatapa kama wamepigwa rungu ya kichwa sahivi kila jumapili taarabu kibao
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Du umefika mbali, hakuna taasisi ambayo serikali haiwezi kuifuta kama sababu za wazi za kuifuta zipo. Sema tu RC hakuna wahuni wengi, lakini kama ubakaji na ulawiti utakuwa dhahiri au kuthibitika kuwa ni maficho ya mercenaries utaona kivumbi chake. Kule Ukraine wamefuta Orthodox churches.Serikali inaweza kufuta makanisa uchwara yote ila haiwezi kufuta RC, ndo maana hata wewe umeanzisha uzi unalialia hamna cha kuwafanya RC.
Ngoja tuone utekelezaji wakeKanisani ni mahali pa ibada, watu wamekuja kusali, hivyo blah blah za wanasiasa hazina nafasi. Kanisa katoliki lilichelewa sana kuja na hilo tamko.
Ni kodi zao hivyo kupatiwa huduma sio kigezo cha kuwaalika kuja kujipa ujiko kanisanikama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri,
Warumi/Romani wao ndio watawala hasa halafu wawazuie kivipi na wao ndio waanzilishi wa hizo serikali na miongozo yote. Hawawezi labda wafanye kisiasa maana Rais yeyote lazima haende Vatican to kiss the ring.Kanisani ni mahali pa ibada, watu wamekuja kusali, hivyo blah blah za wanasiasa hazina nafasi. Kanisa katoliki lilichelewa sana kuja na hilo tamko.
Kinachowachelewesha kulifuta kanisa katoliki ni nini sasa. Acha maneno mengi, fanya kwa vitendo.Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Kanisa halitegemei mchango wa charamila kuendesha shughuli zake. Kanisa linategeme waumini wake kwa 100%Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Kugusa Rome lazima uwe umejipanga hii ni dola kubwa duniani sio mchezo labda aulizwe Mh. Kagame anawezaje kugusa hayo makanisa.Kinachowachelewesha kulifuta kanisa katoliki ni nini sasa. Acha maneno mengi, fanya kwa vitendo.
Utaratibu wa kanisa unatambulishwa kwa jina lako unasimama unawapungia mkono waimini, kama si kiongozi hauruhusiwi kupanda kwenye jukwaa la mapadri au wachungaji.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Nyerere alikuwa mkatoliki sugu, ila alikuwa anaenda kusali tu na kuondoka.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.