mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habari Wanajamvi, familia yangu.
Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa.
Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu, hakuliacha hewani tu hovyo hovyo, na nafasi ya Petro inachukuliwa na Papa, Papa ni cheo/nafasi.
Ukiangalia makanisa yote mbali na katoliki, yalisaliti kutoka kwenye kanisa katoliki, kwa sababu zao kadha wa kadha, tamaa binafsi ikiwa sababu kuu.
Lutheran: lilianzishwa na Luther, ambaye alisaliti kutoka Roman Catholic na kuanzisha movement yake. Alirudi kuomba msamaha kwa Papa, mwishoni sana.
Anglican: lilianzishwa na mfalme wa Uingereza, baada ya kusaliti kutoka Roman Catholic. Sababu ni kukataliwa kumuacha mkewe tasa na kutaka kuoa mke mwingine.
TAG, EAGT, EFATHA, KKKT, KKT, FPCT, na makanisa mengine yote ukiacha Roman Catholic, ni makanisa yaliyoasi kutoka kwenye kanisa mama la RC.
Kanisa la kwanza ni Katoliki. Kanisa takatifu katoliki la mitume.
Kanisa ni Catholic, mengine ni 'betrayers'. Live long RC!