Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Aisee, liko wapi hili! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Daah!
 
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza

Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃
Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃

Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote

View attachment 1471043
Bora niwe muumini wa hili kanisa kuliko kuwa muumini wa dini ya sisiemu, mungu ni JIWE la chattle, wao ni mapambio ya kusifu na kuabudu tu, hata hawakati mauno namna hii, au mnanishaurije mods?
 
Back
Top Bottom