Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Nilimpenda

Niliipenda kweli hii pisi maana nilijitoaga mzima mzima mpaka kodi ya nyumba saivi namwambia mambo yangu yalivyo ananijibu ufala wanawake wengi ni shenzi tu.. staki ujinga
Mkuu ke akikunyima tunda au akiwa mgumu kukupa hiyo ni redflag, piga chini hata kama unampenda vipi.

Ushauri wa mbolea kwa wanaume wote, kujieleza sana kwa ke ni ulofa. Huwa haisaidii zaidi atazidi kukuona lofa. Nayasema haya kwa experience mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…