Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Mkuu ke akikunyima tunda au akiwa mgumu kukupa hiyo ni redflag, piga chini hata kama unampenda vipi.

Ushauri wa mbolea kwa wanaume wote, kujieleza sana kwa ke ni ulofa. Huwa haisaidii zaidi atazidi kukuona lofa. Nayasema haya kwa experience mkuu.
Tajiri, tuelewane. Ukipenda kuhudumiwa kama ndoa na ww hudumia kama ndoa..😏😏
 
Mkuu kila mwezi nilikuwa namwekea laki 250 kwa mpesa yake just imagine kama ningesave hiyo for 2 yrs si ningekuwa mradi mzuri tu somewhere.
Aaah kuna watu hawakumbuki fadhila kabisa kmmke mbona nashikwa hasira kabisa..

Kwaio leo kukosa 60k ya kumpa kwa wakati umeonekana huna hela si ndio....

Take it kama somo kuwa mbinafsi kwa mademu piga pita hivi... Ishi na wana tu
 
Fadhila kwenye mahusiano ya kimapenzi? 😂
Waulize waliosomesha wachumba.
 
Back
Top Bottom