Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Mimi ni Shabiki wa Simba damdam lakini ifike wakati mashabiki wa Simba tuache ushabiki maandazi na uzwazwa, Kweli leo umfananishe mchezaji anayelipwa zaidi kuliko wachezaji wote Tz na Afrika mashariki na kati na huyu mzembe Kanoute anayekosa magoli kizembe? Ifike wakati ushabiki usitufanye wajinga Aziz Ki ni level nyingine hauwezi kabisa kumlinganisha na huyu kinda wala mchezaji yeyote ndani ya Simba.