Binafsi kwasasa nakubaliana nae, na Pia Trump kuna namna anaidhalilisha MarekaniWanaukumbi.
⚡️Germany's Merz on Iran:
The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days.
But today we must acknowledge: it has not been solved.
That is why we, from the European side, are also seeking a diplomatic solution.
I hope that we succeed, but I am not certain.
===============
Marekani na Israeli walidhani mwanzoni kwamba tatizo hili lingeweza kutatuliwa ndani ya siku chache.
Lakini leo lazima tukubali: halijatatuliwa.
Ndiyo maana sisi, kutoka upande wa Ulaya, pia tunatafuta suluhisho la kidiplomasia.
Natumaini tutafanikiwa, lakini sina uhakika.
View: https://x.com/megatron_ron/status/2048849287753196027?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Bora mie uwezo wangu ni mdogo, we mwenzangu ndio hamnazo kabisa, yaani nchi anakufa muasisi wake let say Nyerere tena kwa mashambulizi toka nje jirani tu, safu yote ya ulinzi na usalama unafutwa, mawaziri, hata huyo anayeaminika kuwa ndio mrithi wake inasemekana yupo ICU, hata hao waliachwa hai kama negotiators ikiwemo Speaker na waziri wa mambo ya nje ni kwa maelekezo maalumu toka US kwenda Israel, hata huyo raisi wa sasa ni wa juzi tu baada ya aliyekuwepo kulipuliwa kwenye ndege yake, alafu mnaitwa kwenye meza ya mazungumzo? kuzungumza nini sasa na adui aliyeanza uharibifu wa kiwango hiki?Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ni bora ukanyamaza kuepuka aibu ndogo ndogo.
Yaani leo hii umuuwe samia alafu uongozi wa nchi uchukuliwe na Abdul au Nchimbi useme eti umfanya regime change?
Hata leo hii ikatokea raisi wa Tz na baraza lake la mawaziri wakauawa wote iwapo ccm itaweza kubaki imara na kuchagua watu wengine wa kushikilia uongozi wa walio uawa basi hapo hakuna regeme change kwa sababu mfumo bado unafanya kazi.
Tafsiri ya regime change ni kuanguka mfumo mzima wa uongozi wa nchi fulani na sio kubadilika kwa mtu.
Aya tangu viongozi wa Iran wauawe ni kipi kimebadilika kwenye sera za Iran kuhusu marekani na Israel?
Amerika ni baba wa diplomasia duniani (kwa mtazamo wao wenyewe lakini)😂😂, regime iliyokuwepo Iran ilikuwa moja kati ya vikwazo vya diplomasia nzuri ya dunia, ameweza kufuta uongozi wote, anachokifanya sasa ni kufungua ukurasa mpya. Endapo waliopo sasa kwenye viti huko Iran wakikaza shingo, hata huo ukurasa mpya șină hakika kama utaendelea kutazamwa. Iła we jua kwamba "one step at a time" has proven to be the best metaphor for a result-oriented procedural way to all sorts of executions, and the USA is best at this.Kama marekani ameshinda mazungumzo sasa hivi anataka ya nn Iran hali ya kuwa aliyakataa tangu mwanzo mpaka akamua kuanzisha vita?
Kwani lengo lilimpeleka Trump vitani ni horumuz au ni nyukilia ,makombora ya Iran na kubadilisha mfumo wa uongozi wa Iran?
Kwanza unajua mpaka sasa Trump amesha fukuza majenerali wangapi wa jeshi tangu vita ianze ?
Ukiona NI imekataa jaribu tu hata AI, ITAKUSAIDIA.Sasa wewe na Kansela wa Ujerumani,nani ana high security clearance,nani anapokea taarifa nyingi za kiusalama,yaani unataka kumbishia Kansela au wewe unajua kuliko Kansela?. Kansela wa Ujerumani kila siku anapokea taarifa kwa makamanda wake wa NATO, so anajua Vingi kuliko wewe,mpaka anaongea anajua anacho kiongea.
Mnadanganywa meli hazipiti ,labda za nchi nyingine ila si China? China ndio anaye nunua zaidi asilimia tisini ya mafuta na gas kutoka Iran na kila siku anapitisha meli au wewe lini umewahi kusikia meli ya China imezuiwa Hormuz. Mchina kuanzia siku ya kwanza ya vita mpaka leo bado anapitisha meli zake na hiyo haitoshi, siku ya mazungumzo ya usuluhishi yaliyo fanyika Pakistan Mchina ndege yake ilishusha air defense, ambayo tayari ishafungwa Iran.
Kansela wa Ujerumani anajua anacho kiongea.Tena sio hivyo Kidplomasia US kachakazwa vibaya sana.
Endelea kuokoteza fake news za Reuters, pro Russians wapiga propaganda mashuhuri, meanwhile wenzako Iran sijui hata kama wapo na access ya internet, au hata kama VPN inafanya kazi huko, maana kama hata meme ni anasa, duh, kweli Vita haina baunsa.Vance anahofia kwamba Pentagon huenda isimwambie Trump ukweli kamili kuhusu vita vya Iran huku akiba ikipungua
——
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance amehoji mara kwa mara ikiwa Pentagon inampa Rais Donald Trump picha kamili kuhusu vita nchini Iran, kulingana na The Atlantic.
Katika mikutano ya faragha, Vance aliibua wasiwasi kwamba akiba ya makombora ya Marekani inapungua zaidi kuliko ilivyotambuliwa hadharani, akionya kwamba uhaba unaweza kudhoofisha uwezo wa Marekani wa kupigana vita vya siku zijazo katika maeneo kama Taiwan, Korea, au Ulaya.
Licha ya haya, Waziri wa Vita Pete Hegseth na maafisa wakuu wa kijeshi wameonyesha hadharani akiba ya Marekani kama "imara" na kuelezea vita hivyo kuwa na mafanikio makubwa.
Hata hivyo, maafisa wanaofahamu tathmini za kijasusi waliiambia The Atlantic kwamba hii inatoa picha isiyokamilika, wakibainisha kuwa Iran bado inabaki na theluthi mbili ya jeshi lake la anga na uwezo wake mkubwa wa kurusha makombora, huku silaha muhimu za Marekani zikiwa tayari zimepungua zaidi ya nusu.
Ripoti hiyo inaonyesha mvutano wa ndani ndani ya timu ya usalama wa taifa ya Trump, huku baadhi ya maafisa wakiamini ujumbe wa Hegseth una matumaini makubwa na umeundwa kulingana na kile Trump "anataka kusikia."
Wakati huo huo, Vance imeendelea kusisitiza uwazi nyuma ya milango iliyofungwa, huku vita vikiendelea bila matokeo ya uamuzi na wasiwasi unaoongezeka kuhusu utayari wa kijeshi wa muda mrefu wa Marekani.
Zaidi ya akiba, Vance pia ametilia shaka uonyeshaji mpana wa Pentagon wa mafanikio ya uwanja wa vita, kwani tathmini za ndani zinaonyesha kuwa Iran ina uwezo mkubwa wa kijeshi licha ya madai rasmi ya "udhibiti kamili" juu ya anga zake. Pengo kati ya ujumbe wa umma na matokeo ya kijasusi limeongeza wasiwasi kwamba ukubwa wa vita, na hatari zake, zinaweza kupunguzwa katika viwango vya juu zaidi.
Wewe hujui hata unachotetea naona unaongea fikra zako tu 😂Endelea kuokoteza fake news za Reuters, pro Russians wapiga propaganda mashuhuri, meanwhile wenzako Iran sijui hata kama sapo na access ya internet, au hata kama VPN inafanya kazi huko, maana kama hata meme ni anasa, duh, kweli Vita haina baunsa.
Sasa kwa hizo comment zako unadhani nani ameshikilika karata kwenye hii vita ya Iran & Israel? ni huyo anayepewa lawama na dunia nzima, habari za Papa ni muendelezo wa chuki za wazi kwa Trump, westerners walianza kumezwa na softness, amekuja Trump anaendesha mambo yake Ki-Taleban hakuna anayemuelewa kwa sasa, ataeleweka mbeleni huko, not now.Wewe hujui hata unachotetea naona unaongea fikra zako tu 😂
Mimi siji na porojo nakuja na data na facts.
🇺🇸🇪🇺🇮🇷 Wazungu wanapoteza uvumilivu na wanaamini Trump aliwaingiza katika fujo ambalo hawezi kulisafisha.
🇩🇪 Kansela wa Ujerumani Merz anasema Marekani inadhalilishwa na uongozi wa Iran
🇫🇷 Ufaransa imetishia Israeli kwa vikwazo ndani ya siku chache ikiwa haitabadilisha mkondo
🇮🇹 Meloni aliachana hadharani na Trump kuhusu maoni yake kuhusu Papa
🇪🇸 Uhispania ni miongoni mwa sauti kubwa zinazoshinikiza kusimamisha makubaliano ya biashara kati ya EU na Israeli
Marekani na Iran zote zinaamini muda uko upande wao, lakini kadiri hii inavyoendelea ndivyo inavyozidi kuwa vigumu kwa kila mtu.
Marekani na Israeli zinazidi kutengwa, si tu na wapinzani bali na washirika
Chanzo: Al Jazeera
View: https://x.com/marionawfal/status/2049096820836438402?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kiongozi wa Wachache Chuck Schumer ametangaza kwamba Wademokrasia watalazimisha kura ya sita katika Seneti ya Marekani kuhusu azimio la mamlaka ya kivita wiki hii, linalolenga kupunguza "vita ya hiari" ya Trump nchini Iran..Sasa kwa hizo comment zako unadhani nani ameshikilika karata kwenye hii vita ya Iran & Israel? ni huyo anayepewa lawama na dunia nzima, habari za Papa ni muendelezo wa chuki za wazi kwa Trump, westerners walianza kumezwa na softness, amekuja Trump anaendesha mambo yake Ki-Taleban hakuna anayemuelewa kwa sasa, ataeleweka mbeleni huko, not now.
Marekani ndio ali under estimate Iran. Akajua akiua viongozi nchi itaanguka. Kumbe Iran ni zaidi ya uongozi. Bado wapo pamoja. Bado wameungana.Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?
Iran kaonyesha uwezo mzuri na mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.
Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.
Iran anazuiwa kuwa superpower
😂😂😂 Unamuongelea "crying Chuck" kama Trump anavyomuita, huyo atamezwa na wengi Republicans ambao unajua wanamuitaje kwa kupinga sera za Trump? "Dangerous rhetoric". And of-course hiyo ndio raha ya USA, unaweza kuwapinga viongozi wakubwa na bado ukapewa platforms mpaka kwenye seneti, vipi enzi za hayati Ayatollah, Mungu amrehemu.Kiongozi wa Wachache Chuck Schumer ametangaza kwamba Wademokrasia watalazimisha kura ya sita katika Seneti ya Marekani kuhusu azimio la mamlaka ya kivita wiki hii, linalolenga kupunguza "vita ya hiari" ya Trump nchini Iran..
Sasa AI ndio sources ya habari? au wasomi siku hizi mmeanza reference kutoka kwenye AI tools?Ukiona NI imekataa jaribu tu hata AI, ITAKUSAIDIA.
🇺🇸🇮🇷 Hii ndiyo sababu makubaliano kati ya Marekani na Iran ni magumu kuliko yanavyoonekana:
•Iran inataka mpango wake wa nyuklia usitishwe kwa miaka michache. Marekani inataka uondolewe kabisa.
•Iran inataka kuweka uranium iliyorutubishwa katika ardhi ya nyumbani. Trump inataka kuidhibiti kimwili.
•Iran haitafungua tena Hormuz hadi vikwazo vitakapoondolewa. Marekani haitaondoa vikwazo hadi kuwe na makubaliano.
•Iran inataka mali zilizogandishwa zenye thamani ya dola bilioni 20 zisipogandishwa na fidia ya vita yenye thamani ya dola bilioni 270. Na Marekani inataka Iran iwakatilie mbali kabisa Hezbollah na Hamas.
Kila moja kati ya haya ni mvunjaji wa makubaliano yenyewe.
Chanzo: Al Jazeera
View: https://x.com/marionawfal/status/2049041427070661093?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Baada ya wiki kadhaa za makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano, mazungumzo kati ya Washington na Tehran yamevunjika kabisa.😂😂😂 Unamuongelea "crying Chuck" kama Trump anavyomuita, huyo atamezwa na wengi Republicans ambao unajua wanamuitaje kwa kupinga sera za Trump? "Dangerous rhetoric". And of-course hiyo ndio raha ya USA, unaweza kuwapinga viongozi wakubwa na bado ukapewa platforms mpaka kwenye seneti, vipi enzi za hayati Ayatollah, Mungu amrehemu.
Tangu lini ulisikia Lisu, Mbowe, Mrema, Mnyika na wapinzani wengine wakasifia sera za wapinzani wao kisiasa? hata ulaya ndio hiko hivyo, huyo ni Democratic hawezi msifia Republican.