Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Mfuko wa OPEC umezindua kifurushi cha usaidizi cha dola bilioni 1.5 ili kusaidia nchi zinazoendelea kudhibiti shinikizo la kiuchumi linaloongezeka linalohusiana na nishati, bidhaa na usumbufu wa biashara baada ya vita vya Iran, Reuters iliripoti.

🔴 Masasisho ya MOJA KWA MOJA: aje.news/wtfz0w
 
⚡️ IRNA: Pakistan imefungua korido sita na Iran ili kuepuka kizuizi cha Marekani, na zaidi ya makontena 3,000 yanayoelekea Iran kwa sasa yanasafirishwa kwa njia ya ardhini.
 
Huyu kijakazi wa kiyahudi Echolima1
ajaiona hii taarifa ?
 
Iran yaonya kuhusu mwitikio wa kijeshi 'usiowahi kutokea' dhidi ya kizuizi cha majini cha Marekani, Press TV inaripoti
——
Chanzo cha usalama cha Iran chenye cheo cha juu kiliambia Press TV kwamba kuendelea kwa "uharamia wa baharini" wa Marekani katika mfumo wa kizuizi cha majini kuzunguka Mlango wa Hormuz kutakabiliwa na hatua za kijeshi "za vitendo na zisizotarajiwa".

Chanzo hicho kilisema vikosi vya jeshi vya Iran, vinavyofanya kazi chini ya Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya, vinabaki katika mkao wa vita na hadi sasa vimejizuia kuruhusu diplomasia, lakini kilionya kwamba uvumilivu unaisha ikiwa Washington itadumisha kile Tehran inachokiona kama kizuizi haramu.

Afisa huyo aliongeza kuwa Iran imeendeleza ustahimilivu dhidi ya shinikizo la kiuchumi kupitia uzoefu wa miongo kadhaa ya vikwazo na njia mbadala za biashara, na akasema kwamba ongezeko lolote, ikiwa ni pamoja na usumbufu huko Hormuz, hatimaye linaweza kuidhuru Marekani zaidi ya Iran.

Alisema jibu la uamuzi linaandaliwa kukabiliana na kile kilichobaki cha chaguzi za Washington, huku vita kati ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran vikiingia mwezi wake wa tatu na mazungumzo bado hayajabainika.
 
🚢🇮🇷 Wiki 9 baada ya vita, Mlango-Bahari wa Hormuz umebadilika kutoka mojawapo ya njia za meli zenye shughuli nyingi zaidi duniani hadi kuwa karibu tupu.

  • Kabla ya vita, takriban meli 3,000 zilipitia Hormuz kila mwezi
  • Mnamo Machi, ni vivuko 154 tu vilivyorekodiwa, kuanguka kwa karibu 95%
  • Usafiri wa hivi karibuni umetumia njia zilizotengwa na Iran, huku nusu ya mizigo ikipakiwa katika bandari za Iran kinyume na kizuizi cha Marekani
  • Bandari za Saudi Arabia na UAE, ambazo kwa kawaida ndizo zenye shughuli nyingi zaidi katika Ghuba, zimelazimika kupunguza uzalishaji kutokana na usumbufu wa meli na vitisho vya Iran
  • Asia inabeba mzigo mkubwa: uhaba wa mafuta unaenea katika eneo lote
  • Usumbufu huo unaathiri mafuta, gesi asilia, mbolea na bidhaa zingine muhimu kwa wakati mmoja

Chanzo: CNN
 
Urusi kubaki katika OPEC+ licha ya kuondoka kwa UAE

——
Urusi ilisema Jumatano inakusudia kubaki sehemu ya OPEC+ licha ya uamuzi wa UAE wa kujiondoa, huku Kremlin ikielezea matumaini kwamba muungano wa wazalishaji wa mafuta utaendelea kufanya kazi huku kukiwa na ukosefu wa utulivu katika masoko ya nishati duniani.

Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov alisisitiza kwamba OPEC+ inasalia kuwa shirika muhimu, hasa wakati wa tete iliyopo katika masoko ya kimataifa.

"Muundo huu unasaidia kwa kiasi kikubwa, tuseme, kupunguza mabadiliko ya bei katika masoko ya nishati na kuwezesha kuleta utulivu katika masoko hayo," Peskov aliwaambia waandishi wa habari wakati wa simu ya kila siku.

Aliongeza kuwa Urusi inaheshimu uamuzi wa UAE wa kuondoka na inatarajia kudumisha ushirikiano wa nishati na nchi ya Ghuba.

Mapema Jumatano, Waziri wa Fedha wa Urusi Anton Siluanov alionya kwamba kuondoka kwa UAE kunaweza kusababisha ongezeko la uzalishaji wa mafuta na nchi binafsi, na hivyo kusukuma bei za kimataifa chini.
 
Jibu fupi regime change haijafanikiwa.. amekuja kiongozi mwenye mtazamo, malengo na kila kitu kinachofanana na aliyepita kwa 99.9% unasemaje imefanikiwa? 😂🤣
Time will tell bro, let's just wait and witness.
 
Akili yako na Mavi tofauti ni joto,marekani angefanikiwa angelilia Dunia kuomba msaada?
Cha kukusaidia acha kula nguruwe ili minyoo isiendelee kuharibu ubongo uliobakia
Kenge kweli wewe unayekimbia majini kisa manyunyu ya mvua, tangilia lini marekani akakimbilia dunia? Dunia ndio hukumbilia marekani, hao washirika wake ni wategemezi zaidi ya wasaidizi, Trump anakata utegemezi, mbona mna macho na hamuoni?
 
Ni kweli kabisa tusubiri muda utaongea!!
Waziri wa ulinzi wa Israel kasema wao wanasubiri tu kipenga kipulizwe waanze kazi!!

View: https://x.com/i/status/2047387628736217124
Hawa jamaa wanapoona huruma inawatembelea wanatoka na vijikanga na vijora vyao nakuanza kuchamba kama vile wale dada zetu kimboka Buguruni, baba la baba akiendeleza kichapo wanaanza kutoa milio ya Nokia. So Pathetic, mi naomba USA wattle approval tu, maana tumeshuhusia capability ya Israel kwenye target, katika hili hawata tuangusha.
 
Umesahau kuwa hao viongozi waliji expose wazi na hawakuwa mafichoni. Ila viongozi wa hao wavamizi especially ISRAEL 90% walikimbilia Germany. Jiulize kama viongozi wa Iran wangeamua kujificha na wao je wangeuawa!? Wangeamua kufichwa milima ya Tabriz nani angewafikia!??
-Iran pia imeonesha HUGE RESILIENCE NA YES INASTAHILI KUITWA SUPER POWER KWA SABABU KUU MBILI;
1. Wamehimili vikwazo vya miongoni takriban mitano,hiyo Urusi unayoisemea ilipowekewa vikwazo na EU juu ya vita ya Ukraine ilianza kushuka kwa kasi hadi pale China ilipoamua kuisaidia economically. Hapo tayari inaonesha Iran ina uwezo wa kupembua na kutatua mambo economically kuliko Urusi pasi na usaidizi.
2.Licha ya viongozi wakuu kuuliwa serikali haikupoteza muelekeo na haikusalimu amri. China kipindi cha Opium war 1 & 2 ilipigika na kusalimu amri mara tu baada ya viongozi kiini kufariki. Hii inajulisha Iran ni nchi ambayo ina strong chain of leadership succession inayoifanya iwe ngumu kuanguka.
Embu tujiulize Urusi na China wangewekewa vikwazo vya kiuchumi na jeshi wakiwa bado ni mataifa masikini je wangepiga hatua na wangekua na hali gani!?
 
Hio bei ya mafuta kupanda ni kwa sababu ya Iran, kitendo cha kuzuia Hormuz huyo tayari ni super power, Iran ni super power wa nne US, China, Russia na Iran, kubali ukatae.
 
Lengo la USA kwa Iran limetimia,
  • Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
Alipouawa Sayed Khamenei amerithi mwanawe Mojtaba Khamenei ambaye ni hardliner zaidi na ameshaamuru uundwaji wa silaha za maangamizi,kiufupi NO REGIME CHANGE ACHA KUVUTA BANGI.
  • Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
Hapa ndio umeongea utumbo wa kufa mtu,uranium waliyotaka kuizuia isiunde bomu bado ipo intact. Iran bado ina visiwa viwili vya Qoshem na Kharg ambako kuna maelfu ya hypersonic missile na thermobaric bombs. Hii ripoti walitoa wenyewe USA ndio maana wakawa wanahimiza hivyo visiwa viwili vivamiwe. Hivyo Iran bado ni tishio kijeshi.
Wacha uzwazwa wewe,huko USA kwenyewe mafuta yamepanda. Ulaya bei ya nishati imepanda na watu wanailaumu USA. Hili limesababisha USA ianguke geopolitically na imemfanya Iran a gain geopolitical interests,Spain kafungua upya balozi yake Tehran. Makampuni ya Insurance ya meli yameongeza kifungu cha meli kukubaliana na matakwa ya Iran ili zipite salama Hormuz.
US ameweka blockade ghuba ya Oman. Hormuz ameishikilia Iran na analipisha ushuru kila meli inayopita. China bado anabeba mafuta vile vile na anapita pale pale na USA hamzuii. Iran still inafanya biashara kupitia CASPIAN sea.
 
Na Marekani mafuta yamepanda,na wao hawako salama
 
Wacha uongo we dambass eti kicks of dying horse.
Kitu usichokijua serikali ya sasa inaongozwa na hardliners wa IRGC na Khatam al anbiyah. Na wao ndio wenye funguo zote za kiuchumi pale middle east.
Hiyo USA yako kila siku inalalamika kutaka mazungumzo na Iran ila Iran inakataa.
-Unamzungumzia Saddam Hussein ambaye hakuwa akimiliki silaha za kuziunda mwenyewe!?? Hivi kwa mashambulizi aliyofanyiwa Iran ya kurushwa tomahawks zaidi ya 800+ pamoja na makombora mengine mazito ambao wenyewe US wanakiri tangu world war iishe hawakuwahi kushambulia nchi kama walivyofanya Iran je wange survive!?
-Imalize IRGC ndio utasema regime has fallen. Kama haujui nyamaza tu unaongea utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…