mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Maisha ya mahusiano yana mambo mengi, hususani kwa sisi wazee wakataa ndoa, kuna namna unaweza kujikuta umetumbukia katika kilindi cha mapenzi na mke wa mtu either kwa kujua au kutokujua, basi ikitokea hivyo, wew piga moyo konde mwanajeshi wangu maana leo kiungo mkongwe nataka nikudokeze mambo ya kuzingatia katika hilo penzi lako la wizi.
1. Kamwe usipige naye picha, usithubutu.
2. Ukipiga simu akakata usimpigie tena, jua mume yupo karibu au mashushu.
3. Kamwe usimtumie meseji za mapenzi. Atakutumia yeye wakati salama kwake
4. Shetani asikujaribu ulale nyumbani kwake hata mumewe anapokuwa nje ya nchi. Hata ukisikia mumewe anakaribia kukata roho Mlonganzila, nyumba yake iogope kama ukoma.
5. Kamwe msiwe mnabook Lodge au hoteli moja kila mnapoenda kunyanduana, siku zote badilisha hotel na maeneo hata kichakani ikibidi wa mpelekee🔥, yaan msitabirike
6. Usiwahusishe marafiki zako au marafiki zake katika uhusiano wenu.
7. Akikupigia simu, pokea lakini usijibu haraka. Labda mume wake ndiye anapiga simu kujaribu kuchunguza, mwache aongee yeye kwanza.
8. Usimwite majina ya mapenzi kama my everything sijui roho yangu, jua hiyo ni Mali ya wizi malume, sio yako, na kamwe usiwe na wivu juu yake hata umkute na msela mwingine tofauti na wew au mme wake, we kausha, kumbuka Mali ya wizi ni tamu ukiwa hujakamatwa nayo, hivyo nenda nae kama jasusi wa KGB
9. Ikiwa utajikuta maeneo ya karibia na kwake au Lodge uliyowahi kwenda nae hapo nyuma kibahati mbaya hakikisha hukosi hata kisu mfukoni, kisha usipoteze muda inua tu nguo yake juu wew toa zipu kidogo peleke 🔥Usiondoe kila kitu. Ikiwa mambo yataenda vibaya na joto kufukuta unahitaji kuwa tayari kujiokoa kiwepesi pasipo kupoteza muda
10. Muhimu zaidi. KAA MBALI NA MKE WA MTU UTAFUTE WAKO.! Lakini wake za watu hawaepukiki