Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mke wa mtu sumu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sumu, hao wanao oa hao wanawake na wao wanataka, kutafuta madem nje, sisi tunawasaidia kukuza ndoa zao!Mke wa mtu sumu jamani
NYIE JIPENI MOYO KWAMBA GHETTO MNA MAZIWAMaisha ya mahusiano yana mambo mengi, hususani kwa sisi wazee wakataa ndoa, kuna namna unaweza kujikuta umetumbukia katika kilindi cha mapenzi na mke wa mtu either kwa kujua au kutokujua, basi ikitokea hivyo, wew piga moyo konde mwanajeshi wangu maana leo kiungo mkongwe nataka nikudokeze mambo ya kuzingatia katika hilo penzi lako la wizi.
1. Kamwe usipige naye picha, usithubutu.
2. Ukipiga simu akakata usimpigie tena, jua mume yupo karibu au mashushu.
3. Kamwe usimtumie meseji za mapenzi. Atakutumia yeye wakati salama kwake
4. Shetani asikujaribu ulale nyumbani kwake hata mumewe anapokuwa nje ya nchi. Hata ukisikia mumewe anakaribia kukata roho Mlonganzila, nyumba yake iogope kama ukoma.
5. Kamwe msiwe mnabook Lodge au hoteli moja kila mnapoenda kunyanduana, siku zote badilisha hotel na maeneo hata kichakani ikibidi wa mpelekee🔥, yaan msitabirike
6. Usiwahusishe marafiki zako au marafiki zake katika uhusiano wenu.
7. Akikupigia simu, pokea lakini usijibu haraka. Labda mume wake ndiye anapiga simu kujaribu kuchunguza, mwache aongee yeye kwanza.
8. Usimwite majina ya mapenzi kama my everything sijui roho yangu, jua hiyo ni Mali ya wizi malume, sio yako, na kamwe usiwe na wivu juu yake hata umkute na msela mwingine tofauti na wew au mme wake, we kausha, kumbuka Mali ya wizi ni tamu ukiwa hujakamatwa nayo, hivyo nenda nae kama jasusi wa KGB
9. Ikiwa utajikuta maeneo ya karibia na kwake au Lodge uliyowahi kwenda nae hapo nyuma kibahati mbaya hakikisha hukosi hata kisu mfukoni, kisha usipoteze muda inua tu nguo yake juu wew toa zipu kidogo peleke 🔥Usiondoe kila kitu. Ikiwa mambo yataenda vibaya na joto kufukuta unahitaji kuwa tayari kujiokoa kiwepesi pasipo kupoteza muda
10. Muhimu zaidi. KAA MBALI NA MKE WA MTU UTAFUTE WAKO.! Lakini wake za watu hawaepukiki
1.Usisahau silaha yoyote ya kukuokoa kwenye tukio. usikubali hata kwa bahati mbaya kupakwa mafuta, pambana hadi ufe kwanzaMaisha ya mahusiano yana mambo mengi, hususani kwa sisi wazee wakataa ndoa, kuna namna unaweza kujikuta umetumbukia katika kilindi cha mapenzi na mke wa mtu either kwa kujua au kutokujua, basi ikitokea hivyo, wew piga moyo konde mwanajeshi wangu maana leo kiungo mkongwe nataka nikudokeze mambo ya kuzingatia katika hilo penzi lako la wizi.
1. Kamwe usipige naye picha, usithubutu.
2. Ukipiga simu akakata usimpigie tena, jua mume yupo karibu au mashushu.
3. Kamwe usimtumie meseji za mapenzi. Atakutumia yeye wakati salama kwake
4. Shetani asikujaribu ulale nyumbani kwake hata mumewe anapokuwa nje ya nchi. Hata ukisikia mumewe anakaribia kukata roho Mlonganzila, nyumba yake iogope kama ukoma.
5. Kamwe msiwe mnabook Lodge au hoteli moja kila mnapoenda kunyanduana, siku zote badilisha hotel na maeneo hata kichakani ikibidi wa mpelekee🔥, yaan msitabirike
6. Usiwahusishe marafiki zako au marafiki zake katika uhusiano wenu.
7. Akikupigia simu, pokea lakini usijibu haraka. Labda mume wake ndiye anapiga simu kujaribu kuchunguza, mwache aongee yeye kwanza.
8. Usimwite majina ya mapenzi kama my everything sijui roho yangu, jua hiyo ni Mali ya wizi malume, sio yako, na kamwe usiwe na wivu juu yake hata umkute na msela mwingine tofauti na wew au mme wake, we kausha, kumbuka Mali ya wizi ni tamu ukiwa hujakamatwa nayo, hivyo nenda nae kama jasusi wa KGB
9. Ikiwa utajikuta maeneo ya karibia na kwake au Lodge uliyowahi kwenda nae hapo nyuma kibahati mbaya hakikisha hukosi hata kisu mfukoni, kisha usipoteze muda inua tu nguo yake juu wew toa zipu kidogo peleke 🔥Usiondoe kila kitu. Ikiwa mambo yataenda vibaya na joto kufukuta unahitaji kuwa tayari kujiokoa kiwepesi pasipo kupoteza muda
10. Muhimu zaidi. KAA MBALI NA MKE WA MTU UTAFUTE WAKO.! Lakini wake za watu hawaepukiki
Tatizo ni warahisi kutoa papuchi bila complications, hawaombi hela ovyo ovyo.Ya mwishoo ndo point ya msingi
La mwisho nitazingatia sana1. Kamwe usipige naye picha .
2. Ikiwa ulimpigia simu na akakata, usimpigie tena mume wake anaweza kuwa karibu naye.
3. Usitume ujumbe wa mapenzi kwake, jitahidikupiga.
4. Usijekujaribu hata siku moja kulala kwake hata ikiwa mume wake kasafiri.
5. Usiwaambie marafiki zako au marafiki wake kuwa una mahusianao naye.
6. Ikiwa anakupigia simu, pokea lakini usianze kuongea haraka. labda ni mume anayepiga simu akijaribu kujua, mpe nafasi azungumze kwanza.
7. Ikiwa utakuwa nyumbani kwake, shusha suruali nusu wakati wa kumla usivue kila kitu, Kama mambo yataenda vibaya na unahitaji kukimbia.
8. Muhimu zaidi. KAA MBALI na wake za watu, tafuta wa kwako
Ni kwelii ila jana mmoja amenikaata asee nimeskia uchunguu balaaTatizo ni warahisi kutoa papuchi bila complications, hawaombi hela ovyo ovyo.
ID yako sasa… 😂Wewe kama unapenda wake za watu kila uendako sikiliza wimbo huu wawa sabato
HAKIKAAAA HAKIIIKAA NATEMBEA NIKIWA MAREHEMU. wewe ni marehemu muda wowote tu inakula kwako