Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

ndo mana c watu km hawa hukatwa vchwa vyao halafu mwsho wa cku mnasema eti nmagaid...nadhan mnakumbka issue ya charlie hebdo huko france, wacha wafanye watakavyo c uhuru wa kujieleza!!!!
 
Wakristo tumezidi kuwachekea hawa wakengeufu. Ingekuwa wenzetu wa dini ileeee huyu tayari kichwa chake kinawekwa mnadani. Hata hivyo, Mungu wetu yu hai atamjibu aonavyo inafaa kama alivyowajibu miungu Michael Jackson na Monroe
 
KWA WALE WOTE WANAOIMBA

Amosi 6:5 " nyinyi mnaoimba nyimbo za upuuzi pamoja na sauti ya vinanda na kujifanyia vinanda vya aina nyingi kama Daudi"

Amosi 5:23 " NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU KWA MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"

Amosi 8:3 " tens nyimbo za hekaluni zitakua vilio Sikh ile,asema bwana..."

Amosi 8:10 "nami nitazigeuza sikukuu zenu kuwa maombolezo na nyimbo zenu zote kuwa vilio..."

NYIMBO NYIMBO NI HARAMU
MUZIKI NI KAZI YA SHETANI
VINANDA NI SAUTI YA SHETANI
 
Kama ni kweli maisha yake ni mafupi mno

Binadamu anguko lake li karibu kabisa...huwezi fanya kufuru kubwa namna hii... Ila fimbo ya Mungu itafanya kazi; Yaani Kanye aliumba mbingu na nchi? Akasema kuwe na jua na kila kitu kikawa?
Money is the source of all evils indeed

Hakunaga binadamu ninayemchukia hapa duniani kama kanye West!

Huyo kanyaboya mwisho wake utafika tu.

Uchizi na umburula uko wa aina nyingi,hapo sio Kanye ila Kanyea!

mweh!!!kwahiyo kim ndo mke wa mungu kanye....duniani kuna mambo

Huyo kaisha chizi na misifa yake yakijinga

wamarekani bhna kwa kumjribu mungu hawajambo...

"so y'all better quit playing with god"
Listen I am a god by kanye west

Kwani bible imebadilishwa mara ngapi. .. ? Sijui agano jipya ..la kale. .. ndio mmepata la kanye. ..hehe hehe
 
Wakristo hawajaongea wala kufanya mauaji lakini pata picha kama ingekuwa ni Qur'an pangefananaje????

Wakristo hongereni sana kwa upeo na hekima ya hali ya juu mliyonayo na hili linathihirisha Kweli MUNGU mwenye ulimwengu na mbingu ndiye MUNGU wetu.
 
Kwani bible imebadilishwa mara ngapi. .. ? Sijui agano jipya ..la kale. .. ndio mmepata la kanye. ..hehe hehe
Kwanza unaelewa nini kuhusu neno AGANO?

Sababu ukisoma article yenye discourse at the last pages you will find definition of terms sasa em tuanzie hapo.

Sababu inaonekana foundation ya hoja yako ni neno AGANO em nieleze unafikiri ni mdudu gani huyo?
 
KWA WALE WOTE WANAOIMBA

Amosi 6:5 " nyinyi mnaoimba nyimbo za upuuzi pamoja na sauti ya vinanda na kujifanyia vinanda vya aina nyingi kama Daudi"

Amosi 5:23 " NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU KWA MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"

Amosi 8:3 " tens nyimbo za hekaluni zitakua vilio Sikh ile,asema bwana..."

Amosi 8:10 "nami nitazigeuza sikukuu zenu kuwa maombolezo na nyimbo zenu zote kuwa vilio..."

NYIMBO NYIMBO NI HARAMU
MUZIKI NI KAZI YA SHETANI
VINANDA NI SAUTI YA SHETANI
We umetokea wapi tena?
 
kwa hadi sasa kuna version ngapi za bibilia? kazi munayo
Eti version ngapi?
Hata zingekuwa mia tano kwani version unaitafsirije isijekuwa tu unafikiri maana ya version ni kama fashion yaani Bible new edition na ninafikiri huu ndio uelewa wenu wa neno Bible versions.

Ngoja nikutoe ulimbukeni kidogo wa neno version katika Bible.

Utofauti wa Bible kwa version ni kwamba kuna Bible nyingine neno BWANA limeandikwa kwa uppercase whole capitalized term BWANA na kuna
Nyingine zimeandikwa Bwana kwa first letter capitalized hii pekee ni difference ambayo ni version mbili tofauti.

Nyingine unakuta maneno yote aliyoyasema YESU quoted speech wame italicize na nyingine ipo kawaida by using uniform font for entire Bible hii
Nazo ni version mbili tofauti.

Kuna nyingine lahaja au dialects za lugha zinatofautiana kwenye Bible especially regional dialect kwa mfano Kiswahili cha Tanzania ni tofauti na cha Kenya na Zanzibar na Congo na Rwanda Nakadhalika hivyo English kuna US English na British English sasa unafikiri Kiswahili cha Rwanda au Congo kwenye Bible yao Tanzania watakielewa au kinyume chake? Hizi ni Bible mbili tofauti na ni version but with same contents

Nyingine unakuta ina bibliography na nyingine hazina hii nazo ni versions. Mbili tofauti.

Nyingine zina footnote na nyingine hazina hii nazo ni versions. Mbili tofauti. Nakadhalika Nakadhalika!

Lakini katika versions. Zote hizo hakuna maana iliyoongezwa wala kupunguzwa sasa watu msioelewa mbele wala nyuma kuhusu version ndio mnawaka kama kuna la maana lolote mnalolitetea kumbe ni pumba tupu.
 
Kwa hiyo agano jipya na la kale tofauti ni uppercase na lowercase ..?
 
Kasome agano la kale na hili jipya alafu ndo uje kupayuka hapa,,, "eti hakuna kilichopunguzwa wala kuongezwa"
 
Wakufokafoka Nenda uka nyie huko West sio bure 666 zinakusumbua wewe..😱😱
 
Kanye Rungu West naye ana visa!
Kuanzia leo simuheshimu tena, sijui kala maharage ya wapi huyu!
 
Back
Top Bottom