Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kujidanganya weeh !Kama ni kweli maisha yake ni mafupi mno
Kama ni kweli maisha yake ni mafupi mno
Binadamu anguko lake li karibu kabisa...huwezi fanya kufuru kubwa namna hii... Ila fimbo ya Mungu itafanya kazi; Yaani Kanye aliumba mbingu na nchi? Akasema kuwe na jua na kila kitu kikawa?
Money is the source of all evils indeed
Hakunaga binadamu ninayemchukia hapa duniani kama kanye West!
Huyo kanyaboya mwisho wake utafika tu.
Uchizi na umburula uko wa aina nyingi,hapo sio Kanye ila Kanyea!
mweh!!!kwahiyo kim ndo mke wa mungu kanye....duniani kuna mambo
Huyo kaisha chizi na misifa yake yakijinga
wamarekani bhna kwa kumjribu mungu hawajambo...
"so y'all better quit playing with god"
Listen I am a god by kanye west
Kwani bible imebadilishwa mara ngapi. .. ? Sijui agano jipya ..la kale. .. ndio mmepata la kanye. ..hehe hehe
Kwanza unaelewa nini kuhusu neno AGANO?Kwani bible imebadilishwa mara ngapi. .. ? Sijui agano jipya ..la kale. .. ndio mmepata la kanye. ..hehe hehe
We umetokea wapi tena?KWA WALE WOTE WANAOIMBA
Amosi 6:5 " nyinyi mnaoimba nyimbo za upuuzi pamoja na sauti ya vinanda na kujifanyia vinanda vya aina nyingi kama Daudi"
Amosi 5:23 " NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU KWA MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"
Amosi 8:3 " tens nyimbo za hekaluni zitakua vilio Sikh ile,asema bwana..."
Amosi 8:10 "nami nitazigeuza sikukuu zenu kuwa maombolezo na nyimbo zenu zote kuwa vilio..."
NYIMBO NYIMBO NI HARAMU
MUZIKI NI KAZI YA SHETANI
VINANDA NI SAUTI YA SHETANI
Kiasi uzinzi utamalaki ,hebu nifanyefanye nikagegede mke wa "mungu "nijipatie watoto wa "kimungu"!mweh!!!kwahiyo kim ndo mke wa mungu kanye....duniani kuna mambo
Eti version ngapi?kwa hadi sasa kuna version ngapi za bibilia? kazi munayo
Malaika
Eti version ngapi?
Hata zingekuwa mia tano kwani version unaitafsirije isijekuwa tu unafikiri maana ya version ni kama fashion yaani Bible new edition na ninafikiri huu ndio uelewa wenu wa neno Bible versions.
Ngoja nikutoe ulimbukeni kidogo wa neno version katika Bible.
Utofauti wa Bible kwa version ni kwamba kuna Bible nyingine neno BWANA limeandikwa kwa uppercase whole capitalized term BWANA na kuna
Nyingine zimeandikwa Bwana kwa first letter capitalized hii pekee ni difference ambayo ni version mbili tofauti.
Nyingine unakuta maneno yote aliyoyasema YESU quoted speech wame italicize na nyingine ipo kawaida by using uniform font for entire Bible hii
Nazo ni version mbili tofauti.
Kuna nyingine lahaja au dialects za lugha zinatofautiana kwenye Bible especially regional dialect kwa mfano Kiswahili cha Tanzania ni tofauti na cha Kenya na Zanzibar na Congo na Rwanda Nakadhalika hivyo English kuna US English na British English sasa unafikiri Kiswahili cha Rwanda au Congo kwenye Bible yao Tanzania watakielewa au kinyume chake? Hizi ni Bible mbili tofauti na ni version but with same contents
Nyingine unakuta ina bibliography na nyingine hazina hii nazo ni versions. Mbili tofauti.
Nyingine zina footnote na nyingine hazina hii nazo ni versions. Mbili tofauti. Nakadhalika Nakadhalika!
Lakini katika versions. Zote hizo hakuna maana iliyoongezwa wala kupunguzwa sasa watu msioelewa mbele wala nyuma kuhusu version ndio mnawaka kama kuna la maana lolote mnalolitetea kumbe ni pumba tupu.

he is a shetaniHakunaga binadamu ninayemchukia hapa duniani kama kanye West!
Hahhaha kweli din inauma. Wakristo wamepata mungu mpya leo.