Mambo ya kusikia mara nyingi huwa yameongezwa chumvi. Nyoka anapojinyanyua ili aone kwa macho yake hafifu, anuse kwa kutoa ulimi wake nje aweze kujua nini kinachojiri - ni adui au ni chakula/mawindo. Kama ni adui, nyoka anajificha chap' au anakimbia au kama ni karibu mno (taken by surprise) anajiweka tayari mkao wa kupambana. Kumbuka nyoka hana uwezo wa kuona mbali na hutegemea sana uwezo wake wa kusikia vibrations kwa kutumia tumbo lake.Nasikia huyu nyoka ni kichaa hua anakukimbiza sasa hapo vipi mboni kaishia kujinyanyua tu?
Ni kweli kabisa. Inashauriwa uwe una kaa mbali na nyoka esp. wale wanaotema mate (spitting snakes) walau zaidi ya mita tatu kwa sababu uoni wa nyoka ni hafifu haoni vizuri umbali zaidi ya m3 na kwa hiyo hatoweza kukulenga shabaha kamili machoni au puani kwa mate yake.Dah! Hilo li dubwana liko fasta sana, hapo angepanic tu ingekuwa habari nyingine.
Kumbe huwa haoni mbali vizuri?Ni kweli kabisa. Inashauriwa uwe una kaa mbali na nyoka esp. wale wanaotema mate (spitting snakes) walau zaidi ya mita tatu kwa sababu uoni wa nyoka ni hafifu haoni vizuri umbali zaidi ya m3 na kwa hiyo hatoweza kukulenga shabaha kamili machoni au puani kwa mate yake.
kuna watu hawakuamini najua kwa hiloMhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.
Note, siwezi wala sipendi kitu kinaitwa uongo labda ukute ni wrong information tu.
Mhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.
Note, siwezi wala sipendi kitu kinaitwa uongo labda ukute ni wrong information tu.
Ndiyo. Haoni mbali kwani kile kitendo cha kutambaa humnyima fursa ya kuyaona mazingira yanayomzunguka (poor vicinity augmentation) kwa mapana yake. Lakini pia macho yake yana layers mbili layer ya kwanza ungeweza kuifananisha na mtu aliyevaa miwani na layer ya pili ndo jicho halisi. Sasa endapo layer ya kwanza imechafuka kwa vumbi au uchafu mwingine au ni kwa uzee hapo vision yake inakuwa hafifu (blurred) kwani inasababisha au inaweka kiwingu dhidi ya ile layer ya pili (jicho halisi). Na kadri kitu kinavokuwa mbali ndo inakuwa shida kwake kukiona. Ila akijikoboa (kujitoa gamba), walau huwa anaweza kuona vizuri lakini hii ni kwa muda kidogo kwani kukua na kukomaa kunaendelea. ( ref.Growth and Aging)Kumbe huwa haoni mbali vizuri?
UKWELI ni huu hapa kumhusu Kinyonga(Chamelion). Kinyonga HANA sumu yoyote.Mhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.
Note, siwezi wala sipendi kitu kinaitwa uongo labda ukute ni wrong information tu.
Kwanza kamera zake sijui anawekaje hata hazivutii picha zakeHivi hana GPS hadi aulize ulize, huyu nae akili ya old stone age, primitive, miaka hii ni kutembea nchi zote hizo kwa pikipiki?
Ni sahihi kabisa. Binadamu tunatofautiana katika mengi. Wapo baadhi ya watu waking'atwa na nyuki japo mmoja tu, anaweza kudhurika kiasi cha kuwa admitted hospitali ilhali wapo wengine hata nyuki kumi na tano yy anaona kawaida tu na anaendelea na mishe zake.kweli kila mtu ana kitu anaogopa sana kuliko kawaida kuna watu wanaogopa sana nyuki lakini upande wangu
nawapenda sana huwa nawawekea asali waje angalau waje niwaone jinsi wanafanya kazi
basi nafurahi sana ila kuna jamaa wangu huwa hataki ata kumuona huyo mdudu
Almanusra nitoe komenti kwamba hiyo picha ilowekwa pg.#1 ni ya kuchora kwa mkono.Kwanza kamera zake sijui anawekaje hata hazivutii picha zake
Mimi nikiwa darasa la pili umanda huko tabora vijijin unasikia bimkubwa anaita we ujoka washa koroboi uingie ndani ukatoe linyoka limeingia saiv yasije kuzaliana na lile jingine lililongia janaKwa wa mjini hii kitu ni hatari mno , ila kwa sisi vijana tulio kulia manyara miaka ya 90 hivi vitu ni vya kawaida mno
πππππππMimi nikiwa darasa la pili umanda huko tabora vijijin unasikia bimkubwa anaita we ujoka washa koroboi uingie ndani ukatoe linyoka limeingia saiv yasije kuzaliana na lile jingine lililongia jana
Ila sio koboko mkuu. Mbona shemeji zangu wa Manyara wana akili na hekima, we mbona umekuwa kilaza na mjinga? Mbona sasa umekuwa mzabibu mwitu wakati ulikuwa mzabibu mzuri.Kwa wa mjini hii kitu ni hatari mno , ila kwa sisi vijana tulio kulia manyara miaka ya 90 hivi vitu ni vya kawaida mno
AsanteIla sio koboko mkuu. Mbona shemeji zangu wa Manyara wana akili na hekima, we mbona umekuwa kilaza na mjinga? Mbona sasa umekuwa mzabibu mwitu wakati ulikuwa mzabibu mzuri.
Usiwaige hawa akina Kiranga huku mtandaoni. Huyo ni msukuma na wasukuma wengi wanasumbuliwa na ushamba. Yupo mastate huko ila bado ana usukuma ndani yake. ππππ
Karibu kwa Yesu tena, bado anakupenda shemeji yangu.