Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

Kuna yule Mwingereza aliyekuwa anasomea Chuo cha Wanyamapori kule South Africa aligongwa na Koboko akafa ndani ya nusu saa.
 
Nyuki mimi siwapendi ule mlio wao tu siku moja kwa bahati mbaya nilimpiga kofi mmoja akafa..
waliniungia kama woote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…