Jamaa anakubalika, hatawali Kwa mkono wa chuma au jiwe, hajui raia wanaomkosoa, hakopo na kuadaa umma tunajenga nchi Kwa pesa zetu..Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Kigezo cha mtu kuwa kiongozi wa chama chenye viti vingi bungeni haimaanishi kachaguliwa na wananchi kwakuwa kiongozi anachaguliwa na wanachama wa hicho chama na si kila mwingereza ni mwanachama wa chama fulani.anateuliwa na wanachi through vyama vyao
UK Parliament
Prime Minister
The Prime Minister is the leader of the Government. He or she is the leader of the party that wins the most seats at a general election. After a general election the monarch calls upon the leader of the largest party to form the Government. The Prime Minister chooses the other Members of the Government and has a residence and offices at 10 Downing Street
Walioachiliwa ni waliotaka kupindua serikali wakati Rais akiwa Blaise Compaoré nadhani sio wakati yeye akiwa RaisHakuna demokrasia ya kweli duniani
Yuko sahihi kwa hilo analosema
Ila majuzi kawaachia waliotaka kuipindua serikali wakati ule na wako huru
Hiyo pia sio demokrasia bali uungwana tu
Nchi nyingi wanauwa na kutesa huku wakisema kuna uhuru na Demokrasia
One million dollar comment.Africa demokrasia bado wakati wake haujafika, Africa inahitaji viongozi wenye maono na dhamira ya kweli wataoleta mapinduzi ya siasa,uchumi nk, kupitia viongozi hawa mifumo ndio itawekwa na demokrasia ndio itakuwa rahisi kuiishi.
🤣🤣🤣Demokrasia Marekani na ulaya imekuja Juzi TU miaka ya 40 50 na 60 usijichanganye.
Marekani wana kitu inaitwa Electro college.
Wanawake wameruhusiwa Juzi TU kupiga kura Marekani.
Hivyo ni kweli..... Democracy doesn't and won't work in Africa.
Tangu alipoingia madarakani mlisema hana muda mrefu, vp mkuu huo muda mfupi haujaisha tuu au unataka baada ya miaka akiachia madaraka ndo mje mseme tulisema?Huyu dogo mpenda sifa, muda si mrefu atalikoroga tu
Kwani kuna kitu gani kadanganya hapo kwenye comment? Kiseme kama kipo.🤣🤣🤣
Kuna watu mnachekesha sana aisee!
Halafu sijui shida ni nini: ni kwamba mna vichwa vizito na hamuelewi mambo mnayoyasikia na kuyasoma au labda mnapata taarifa zenu toka kwenye vyanzo vya habari visivyo vya uhakika na kuaminika?
Au Wamarekani kuwanyima watu weusi na wasio wazungu haki kama raia, ikiwemo kupiga kura hadi 1964. Ndiyo ilikuwa demokrasia?Wanaosema Uingereza kuna demokrasia mbona walitutawala kwa nguvu? Kwanini tusingepiga kura tuchague kama tunataka ukoloni au lah. Mbona ilimiliki watumwa waliolima mashamba kwenye vlsiwa vya Caribbean? Kwanini wasingeruhusu watu wachague kama wanataka kuwa watumwa au lah? Au wale Aborigines wa Australia mbona waliuliwa na kuchinjwa na hao hao waingereza? Hiyo ndo demokrasia? Mbona hadi leo vitu walivyoiba kwetu wamevijaza kwenye makumbusho yao? Kwanini hatupigi kura tuchague kama vitu vyetu virudishwe au viendelee kubaki kwenye makumbusho ya Uingereza? Wamegoma kurudisha hadi vinyago vilivyochongwa na mababu zetu. Hiyo ndo demokrasia?
Usichokijua wewe pamoja na wajinga wenzio wenye mawazo kama haya yako ambao mmekaririshwa kuwa maendeleo lazima yapatikane kwa kile mnachokiita demokrasia, ni kwamba nchi nyingi unazoziona zina maendeleo leo hii ikiwemo hizi ulizotaja hapo juu zilipata misingi ya maendeleo yao nyakati ambazo walikuwa hawana tawala za kidemokrasia, mfano kama hao Sweeden walianza kupata maendeleo makubwa walipokuwa chini ya King Oscar II mwishoni mwa miaka ya 1890s na kipindi hicho mfalme ndio alikuwa final decision maker....stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Kule wameendelea kwa sababu kila mtu ana akili, huku Afrika bila mijeledi hatuendi as hatuna reasoning ya kutosha. Traore yupo sahihi, mwafrika haongozwi kwa demokrasia coz hawezi kuishi kidemokrasia. Watu wamefanya tafiti za kutosha, Afrika haihitaji demokrasia.stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
India waliingia kwenye mkumbo wa demokrasia ndio sababu mojawapo wameshindwa kuifikia China kwenye maendeleo. Wakati wako busy na siasa, wenzao China wanachapa kazi viwandani.Usichokijua wewe pamoja na wajinga wenzio wenye mawazo kama haya yako ambao mmekaririshwa kuwa maendeleo lazima yapatikane kwa kile mnachokiita demokrasia, ni kwamba nchi nyingi unazoziona zina maendeleo leo hii ikiwemo hizi ulizotaja hapo juu zilipata misingi ya maendeleo yao nyakati ambazo walikuwa hawana tawala za kidemokrasia, mfano kama hao Sweeden walianza kupata maendeleo makubwa walipokuwa chini ya King Oscar II mwishoni mwa miaka ya 1890s na kipindi hicho mfalme ndio alikuwa final decision maker....
Hizi demokrasia unazoona wameanza kuzipractice kwenye mirongo ya hivi karibuni baada ya kuwa tayari wameshaimarisha mifumo imara ya kiuchumi, ndio wakawaleteeni na nyie wamatumbi wa dunia ya tatu kwamba eti demokrasia ndio msingi wa maendeleo bila demokrasia huwezi kupata hayo maendeleo.
Nchi nyingi za kiafrika zipo stage ambayo hizo scandvania countries zilikuwepo karne iliyopita, kwa hiyo utakuwa ni uwendowazimu kuziongoza nchi hizi za kiafrika kama unaiongoza sweeden ambayo ilishajipata tangu karne iliyopita...
Tatizo watu wenye akili ndogo na duni kama wewe mkishafundishwa tu huko madarasani kwenye vitopic vya civics sijui demokrasia ndio msingi wa utawala bora, mnayashika kama yalivyo hamuwezi hata kuyachanganua kama hayo mliyofundishwa darasani je, ni kweli yako realistic kwenye maisha yetu..?
Fungua hiyo brain yako na ugundue uhalisia uko vipi mshamba wa demokrasia wewe.
Kwanza una habari hata Donald Trump anataka kuongeza muda wake wa kukaa ikulu ya white house, ndugu mpenda demokrasia?
Ni kweli wale wa wakati uleWalioachiliwa ni waliotaka kupindua serikali wakati Rais akiwa Blaise Compaoré nadhani sio wakati yeye akiwa Rais