Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Mkuu hiyo ni gia yake ya kukaa pale. Ndiyo maana asemi ya kidikteta anatumia neno mapinduzi
Nyie wapenda ushoga(demokrasia) huwa mna fikra duni,nyepesi mbovu sana.

Kwa hiyo leo hii Tindu Lisu akisema ccm haistahili tena kurudi madarakani baada ya kushindwa uchaguzi hapa october, tafsiri yake ni kwamba chama kitakachokuwa kimeshinda uchaguzi let's say CHADEMA kitakuwa kina mpango wa kukaa madarakani milele au? Una uwezo kufikiri mfupi sana bila kujua
 
Huu upuuzi ulioleta hapa umeandikwa na ma diaspora aina ya watu kama kabendera, ambao huwa hawakosi kila taifa la kiafrika...

Na tunajua ma diaspora wenye elements za usaliti kama huyo aliyendika hii article ndio huwa nyenzo zinazotumiwa na western governments dhidi ya viongozi shupavu wazalendo wasiokubaliana na matakwa yao mabeberu.

BTW, ni heri kushirikiana na Russia kuliko kushirikiana na hao exploitators wa hii dunia kutoka west.
 
Demokrasia = mnachagua au kufanya maamuzi kwa kushirikiana

Kiimla - MTU mmoja anaawaamuli wengi .


Hasara za demokrasia

- wajinga wakiwa wengi mtapata viongozi wabaya

Faida

-Amani ya nchi - kwakuwa watu wengi mlikubaliana na kumchagua mnayemtaka

Nchi za Africa ni nchi ambazo zinabidi Kuwa na demokrasia .

Ahsante .
Ninataka ku dislike hii comment yako nibonyeze wapi?
 
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.

Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"

Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
 
HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
ETi "china ni open kaburi" mjinga kweli wewe, hebu taja nchi moja wapo kati ya hizo mnazozishadadia kwa demokrasia yao ambayo inamkuta nchina kwa maendeleo licha ya yeye kuwa open kaburi kama unavyoita????
 
"Wazungu" hawakuleta demokrasia Afrika. Walileta ukoloni na ukoloni mamboleo.

Kuwa na demokrasia au kutokuwa na demokrasia ni uamuzi wa nchi.

Waafrika na viongozi wao wenyewe ndio walioamua kufuata mfumo wa demokrasia kisanii ili waendelee kupata misaada toka Magharibi, waweze kuhifadhi mapato yao binafsi ya kifisadi, na kwenda kula bata huko huko bila kusumbuliwa. Trump keshawapa tahadhari.

Demokrasia haitaki kabisa usanii kama ule unaofanywa nchini tangu 1992 na kuendelezwa kwenye Maridhiano na 4R.

Waafrika wengi ndipo walipokwama na kukimbilia kusingizia kwamba kukosa maendeleo tatizo ni demokrasia! Ni kama muathirika wa HIV kurukaruka kwenye umezaji wa ARV halafu mashambulizi yakianza kujitokeza unakimbilia kusingizia ARV ndio tatizo.
100%
 
Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
Alikuwepo raisi wakufanya hicho unachokisema, lakini sio huyu anayefuga majizi,mafisadi,asiyejua kulinda rasilimali zetu na aliyekosa kabisa hata chembe ya uzalendo.

Maendeleo gani kwanza kaleta samia?
 
Ila prime minister wa Uingereza ndo mwenye hayo majukumu chakushangaza prime minister mwenyewe hateuliwi na wananchi.
Ha ha ha ha ndio maana ninakuambia hii demokrasia ya mwingireza ni MCHEZO WA KADENGE....
 
Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
Samia akitawala milele hadi Serengeti atapewa mchina aiendeshe kwa muda.

Inabidi tupate that one man ambaye atafanya, atachukua hatua na kuipaisha nchi yetu. Na mara nyingi that one man hapatikani kwa demokrasia.
 
stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Sasa unafananisha nyani na binadamu?
 
Sahihi demokrasia inahitaji uwe na watu wengi wenye elimu, taarifa sahihi na uelewa mpana wa mambo.
Kama ndivyo ,haya uliyoyataja yana ukubwa gani barani Afrika....

Wananchi wanahitaji maendeleo....mengine ni PANG'ANG'A tu.. .
 
Historia ya hizo nchi unazitaja kama "WESTERN WORLD" unaifahamu vizuri?

Unafahamu zimetokea wapi hadi kufikia hapo zilipo?

Fikiria mara mbili... inawezekana Africans were the most democratic than what we are perceived to be.

Remember we are not "STUPID"...
Exquisite !

Kudos !
 
Sasa kama hivyo ndivyo mnavyotaka, mnamshabikiaga Lisu kwa minajili ipi?

Acheni CCM itawale milele. Lisu, Heche, na wenzao wote funga jela.

Hakuna cha mikutano ya vyama vya siasa.

Piga marufuku wengine wote kufanya shughuli za kisiasa isipokuwa CCM.
CCM ndiyo DEMOKRASIA yenyewe... .
 
Hata mimi nasemaga humu kila siku. Nchi haiwezi kuendelea chini ya demokrasia. Demokrasia ina walaji(machawa) wengi sana ambao usipowaridhisha huwezi baki madarakani. Wazungu walipotuletea demokrasia walikuwa wanajua wanachokifanya.
Nakazia tu.

Demokrasi inatoa mwanya wa ulaji.

Dempkrasia inatoa mwanya wa kupinga kitu hata kama kina masrahi kwa Taifa. Mfano, Magufuri alipingwa anapohitaji kujenga bwawa la Umeme La Mwl. Nyerere na watanzania wasomi kabisa wenye PHDs, Tundu Lisu na Accasia zidi na TZs kioindi Magu kaamua tupate share ya madini yanayochimbwa.

Kifupi, demokrasia inatoa kwanya wa kuingiliwa maamuzi ya maendeleo yenu na wasiopenda muendelee. Wataingilia kwa kimvuli cha Demokrasia.

Human by nature anapenda starehe. Hakuna mtu anaependa shida. Katika maendeleo ya kweli, ni lazima mkubali kupita katika kipindi cha kubana matumiz au kutostareheka kabisa. Sasa ikitokea rais akawapitisha huko, watakuja wanademokrasia na kisema unakiuka haki za binadamu. Mtu huyo ataahidiwa misaada mingi ana atapewa pesa kwa kimvuli cha Demokrasia ili kuondoa utawala unaopambana kuletaaendeleo ya kweli.

Kiufupi, Demokrasia inatumika na watu kama kimvuli cha kutimiza mahitaji yao.

Kuna mchangiaji mmoja humu ndani aliwahi kusema kua,
Ukienda kinyume chao tu, utapewa majina na Gaidi, Dictator, Unabinya Demokrasia etc, Lengo lao ni kuhakikisha hakuna maendeleo unayoyaleta. Ukiweka na ujinga au uchawa wa haya mataifa yanayoendelea ndio kabisa.
 
Kitendo tu cha wewe kusema dunia ina wenyewe sijui wao ndio wameshika remote tayari moja kwa moja unadhiirisha hii dunia aina hiyo demokrasia, maana tayari kuna watu wenye nguvu kuliko wengine na ndio wanaamua dunia iende vipi na wakati huo katika demokrasia tunaambiwa hakuna mtu ambaye yuko juu ya mwingine.

Sasa kama ni hivyo basi Traore yupo sahihi kwa kuipuuza kabisa hiyo demokrasia, maana hata hao unaowaita wakubwa wa dunia hawaifuati hiyo demokrasia kwa sababu wanawapangia wengine wajiongoze vipi.
Umemaliza KILA KITU....

Kumbe DUNIA ina wenyewe....kweli kabisa DUNIA haina hiyo DEMOKRASIA.....
 
Back
Top Bottom