Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Bila Magufuli tusingekuwa na AIR TANZANIA, SGR na Stigler's Gauge bila kusahau DART na viwanda vingine alivyovianzisha na hapo mzee wa watu katawala tu kwa miaka mitano tu.Ikiwa wameshindwa kuondoa umasikini basi hawana positive impact
Barabara
Madaraja
Hata wakoloni walijenga is bullshit kuwasifu viongozi wa Africa ambao wamekuwa wakiliibia Taifa na kujilimbikizia mali
Bila Kagame pengine Rwanda ingeshuhudia Genocide nyingine na isingekuwa na jeshi imara la kuwachachafya wanajeshi wakongo.