Huyo shoga(yes yeyote anayejifanya mpenda demokrasia kwangu mimi ni shoga) hajui chochote kuhusu Rwanda hasa baada ya genocide, anafikiri bila kiongozi shupavu asiyekuwa na masihara kama Kagame Rwanda ingekuwa hapo ilipo, jamaa anafikiri kuiongoza nchi ndogo iliyotoka vitani ambayo haina rasilimali kama Rwanda na ikawa mfano ni jambo jepesi...Bila Magufuli tusingekuwa na AIR TANZANIA, SGR na Stigler's Gauge bila kusahau DART na viwanda vingine alivyovianzisha na hapo mzee wa watu katawala tu kwa miaka mitano tu.
Bila Kagame pengine Rwanda ingeshuhudia Genocide nyingine na isingekuwa na jeshi imara la kuwachachafya wanajeshi wakongo.
Kiufupi jamaa ni mpuuzi sana, yaani anajaribu kubelittle achievements za Kagame kwa kigezo cha hiyo demokrasia yake anayoitaka... mjinga sana huyo muhaya.
Naona hata kwa Magufuli, anafanya vile vile tu kwamba kwa vile alikandamiza sana uhuru wa kisiasa, basi anamuona hakuna alichokifanya.... Yaan kwake yeye maendeleo ni uwepo wa demokrasia anaudhi sana
We muhaya DR HAYA LAND rudi shule pumbavvu.