Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Huyo shoga(yes yeyote anayejifanya mpenda demokrasia kwangu mimi ni shoga) hajui chochote kuhusu Rwanda hasa baada ya genocide, anafikiri bila kiongozi shupavu asiyekuwa na masihara kama Kagame Rwanda ingekuwa hapo ilipo, jamaa anafikiri kuiongoza nchi ndogo iliyotoka vitani ambayo haina rasilimali kama Rwanda na ikawa mfano ni jambo jepesi...

Kiufupi jamaa ni mpuuzi sana, yaani anajaribu kubelittle achievements za Kagame kwa kigezo cha hiyo demokrasia yake anayoitaka... mjinga sana huyo muhaya.

Naona hata kwa Magufuli, anafanya vile vile tu kwamba kwa vile alikandamiza sana uhuru wa kisiasa, basi anamuona hakuna alichokifanya.... Yaan kwake yeye maendeleo ni uwepo wa demokrasia anaudhi sana

We muhaya DR HAYA LAND rudi shule pumbavvu.
Kagame ni kibaraka wa mabeberu mkubwa sana. Asingekuwa kibaraka angeshaondolewa siku nyingi sana
 
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.

Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"

Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)

Mnapandikiza maneno mengi sana ya uongo kwa huyu jamaa
 
stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Haya nyie waTz mliotawaliwa na marais 5 mmeendelea?

Yeye miaka2 tu kafanya makubwa na yanaonekana hao wakwao wamefanya nini ndani ya miaka 30?

Mbona Wazee wetu wa Kiafrika waliishi chini ya utawala wa kichifu wa mtu mmoja kwa miaka mingi na wakastawi?

Bora dikteta anayeleta maendeleo hata akikaa hadi kufa kuliko utawala wa kidemokrasia wa "chukua chako mapema"

Wewe ni mmoja wa mwana-DOMOKRASIA mnaotaka kula kwa kuuza maneno ya ahadi tuuu kila kukicha sasa mwisho wenu umefika.
 
Vibaraka na mawakala wa wazungu, mapovu yanawatoka.

Hakika dunia imekuwa ni kijiji kwa mujibu wa wabobezi wa tekenolojia-taarifa zinapatikana kiganjani.

Rais Donald Trump kwa mda mfupi, toka amechaguliwa kwa maneno na vitendo, amekuwa akii ikanyaga Katiba na Demokrasia nchini Marekani, ila hutawasikia hawa wabobezi wa Demokrasia JF wakiwaita Wamarekani ni mabaga, n.k n.k Unafikiri ni kwanini

stupid as africans are...
Unateseka ukiwa wapi? Hii savior mentality ina kuua na stress😌😌🙌🏾 pole Mkuu.😊
Waafrika wengi mnapenda mijeledi kama punda,

Wewe mwenyewe huko ulipo unapelekeshwa kwa mjeledi🤔🤣🤣🤣

. Typical african in power...nilitaka kuhangaa atofautiane na waafrika wenzake. stupi burger takataka
So sad, so sad wazungu kuwa na savior mentality ya namna hii. Loh

wakati huo huo washaambiwa Saviour mentality ni Ugonjwa ambao unawapatia usongo na makasiriko yasiyo na ulazima.

/Irritability /inatokea pale wanaposhindwa kufanya chochote kwa lolote. I wonder how they feel when they know there is absolutely nothing they can do.

In hindsight, hawa mawakala na wahenga wa mabeberu wameshindwa kuielewa hoja.

Wamejaa jazba na matusi tu.

Ngoja nitafute nyama huku chini.
 
Kagame ni kibaraka wa mabeberu mkubwa sana. Asingekuwa kibaraka angeshaondolewa siku nyingi sana
Huyo Kagame na udikiteta wake ameleta maendeleo makubwa Rwanda pamoja na kupitia kwenye vita,sasa wewe hao wanasiasa wako wamefanya nini pamoja na demokrasia yenu?

Ninachoamini hakuna atakae tawala milele kwani kuna kuugua au kufa pia acheni kulishwa ujinga na wazungu eti demokrasia kenge nyie!!

Mwafrika bila mijeredi haendi
 
Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao

Usimlinganushe Traole na zama za Gadafi na utambue Gadaffi alisalitiwa na viongozi wenzie wa Afrika.

Pia muangalie Traole kama West Afrika na siyo Burkinabe kuba nchi 3 pale.

Usiishi kwa kukariri mabadiliko yapo na yatawezekana Waafrika wanaanza kujitambua na kuwaona wazungu maadui.

Mzungu hutumia divide and rule kwa West Afrika hiyo haipo ,wataweka wapi military bases zao?
 
Yeye namuelewa wala s9mshangai kwa sababu ana tamaa ya madaraka ana kitu anatafuta.

Nisiowaelewa ni hawa misukuke wa Afrika wanaomshangilia.

They are cheering for a tyrant.
Usimlinganishe Mabutu na Traole acha kabisa ujinga huo na ujitambue.

Watu kama nyie ni vibaraka wa wazungu kupitia demokrasia,haya wapeleke hiyo demokrasia yao ikamalize vita kati ya Mrusi na Ukraine kama kweli inafanya kazi.

Huyo Rais wa Ukraine siyo dikteta?wamtoe basi!!
 
Mpaka leo anaamini uchawi bado.

Some medieval bullshit.
...ndio kusema "revolution" ni uchawi?

...umekuwaje mkuu; na majibu yaliyojaa jazba?

...Umeshindwa nini leo kui engage na hoja yake.

...una muattack bila hata na hoja ya msingi. Not so smart.

...kumbuka pia, hata hiyo Demokrasia ni mediaval bullshit.
 
HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
Je zimeendelea au hazijaendelea kupitia huo udikteta wao?
 
kwenye democrasia ni rahis kupandikiziwa mamluki apo ndio tatizo na kwenye udikteta mnaweza kujikuta mnamilikiwa na lipimbi kwa muda mrefu na hamna chakulifanya na likiondoka linaacha pimbi lingine
Siyo kwaAfrika ya sasa
 
Demokrasia = mnachagua au kufanya maamuzi kwa kushirikiana

Kiimla - MTU mmoja anaawaamuli wengi .


Hasara za demokrasia

- wajinga wakiwa wengi mtapata viongozi wabaya

Faida

-Amani ya nchi - kwakuwa watu wengi mlikubaliana na kumchagua mnayemtaka

Nchi za Africa ni nchi ambazo zinabidi Kuwa na demokrasia .

Ahsante .
Hivi demokrasia ni kwa marekani kuivamia Iraq,Libya,Kongo,Afganstan,Vietinam,nk??
 
Usimlinganushe Traole na zama za Gadafi na utambue Gadaffi alisalitiwa na viongozi wenzie wa Afrika.
Mkuu, kwa hilo juu kuhusu kusalitiwa na viongozi wenzake ninalitilia mashaka,

Viongozi wepi hao?

Waafrika wanaanza kujitambua na kuwaona wazungu maadui.
Haki☝🏿Sidhani hilo juu lina ukweli wowote ule.

...hulka za Mwafrika sio za kuishi na vinyongo- kuwashinda wazungu, they are more vengeful, than us bana, ni makatili pyu.

...naafiki, Waafrika wanajitambua kitambo sana, na sio kwamba tunawatizama/ hatuwatizami wazungu kama ni maadui.
 
Vibaraka na mawakala wa wazungu, mapovu yanawatoka.

Hakika dunia imekuwa ni kijiji kwa mujibu wa wabobezi wa tekenolojia-taarifa zinapatikana kiganjani.

Rais Donald Trump kwa mda mfupi, toka amechaguliwa kwa maneno na vitendo, amekuwa akii ikanyaga Katiba na Demokrasia nchini Marekani, ila hutawasikia hawa wabobezi wa Demokrasia JF wakiwaita Wamarekani ni mabaga, n.k n.k Unafikiri ni kwanini


Unateseka ukiwa wapi? Hii savior mentality ina kuua na stress😌😌🙌🏾 pole Mkuu.😊


Wewe mwenyewe huko ulipo unapelekeshwa kwa mjeledi🤔🤣🤣🤣


So sad, so sad wazungu kuwa na savior mentality ya namna hii. Loh

wakati huo huo washaambiwa Saviour mentality ni Ugonjwa ambao unawapatia usongo na makasiriko yasiyo na ulazima.

/Irritability /inatokea pale wanaposhindwa kufanya chochote kwa lolote. I wonder how they feel when they know there is absolutely nothing they can do.

In hindsight, hawa mawakala na wahenga wa mabeberu wameshindwa kuielewa hoja.

Wamejaa jazba na matusi tu.

Ngoja nitafute nyama huku chini.
Trump tunamsema, yeye na wafuasi wake. Wewe tu umelala.
 
Usimlinganishe Mabutu na Traole acha kabisa ujinga huo na ujitambue.

Watu kama nyie ni vibaraka wa wazungu kupitia demokrasia,haya wapeleke hiyo demokrasia yao ikamalize vita kati ya Mrusi na Ukraine kama kweli inafanya kazi.

Huyo Rais wa Ukraine siyo dikteta?wamtoe basi!!
Wapi nimemtaja Mobutu?

Umekusudia kuninukuu mimi au umekosea tu?
 
...ndio kusema "revolution" ni uchawi?

...umekuwaje mkuu; na majibu yaliyojaa jazba?

...Umeshindwa nini leo kui engage na hoja yake.

...una muattack bila hata na hoja ya msingi. Not so smart.

...kumbuka pia, hata hiyo Demokrasia ni mediaval bullshit.
Nineweka link yenye makala ndefu inayomchambua kiundani Traore, sipo katika mkumbo wa kumshabikia kijumlajumla.


Soma post#46

Kama hujui kusoma, hilo ni tatizo lako.

Kama demokrasia ni medieval bullshit, kaa kimya basi. Maana hata wewe kujueleza hapa JF ni sehemu ya demokrasia.
 
huwa mnasema anafanya nini? anawachapa fimbo Wamarekani kama punda?
Marekani unaitukuza sana eeh?

Mazungumzo ya Traore na Burkina Faso haya.

Marekani waache, hata huu mtandao unaoutumia ni kwa msaada wa watu wa Marekani.
 
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.

Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"

Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Kanogewa na salutes huyo. Hatoki wakae kwa kutulizana. Mada yake hayana msibgi wiwote zaidi ya kujustfy nia yake ya kuitawala Burkina Faso milele
 
Nineweka link yenye makala ndefu inayomchambua kiundani Traore, sipo katika mkumbo wa kumshabikia kijumlajumla.
Naona umechanganyikiwa. Sihitaji kuisoma hiyo makala, ninachohitaji ni haya niliyo yaorodhesha:

...ndio kusema "revolution" ni uchawi?

...umekuwaje mkuu; na majibu yaliyojaa jazba?

...Umeshindwa nini leo kui engage na hoja yake.

...una muattack bila hata na hoja ya msingi. Not so smart.
Soma post#46

Kama hujui kusoma, hilo ni tatizo lako.
ona sasa, weye huyu wa ad hominem argumentum-Bro niliyoyauliza vipi? manake sikuuliza Traore ni nani.
Kama demokrasia ni medieval bullshit,
Indeed medieval busllshit kwa reasoning uliyotumia kule juu
kaa kimya basi
ona sasa, makasiriko ya nini
Maana hata wewe kujueleza hapa JF ni sehemu ya demokrasia
Aha. Sasa tatizo lako lipo wapi kama unatambua hilo?

Kwanini ulazimishe Demokrasia ya Wazungu kwa wa Burkinabe, Watanzania,Waafrika?
 
Back
Top Bottom