Chaguzi hazileti majawabu kwa kuwa wanaoongoza hawana ridhaa ya wananchi.
Kama unaona Jinping ana umaalumu, kesho Samia atataka kutawala bila kikomo, je naye atakuwa na umaalumu!? Unaona mchakato wake Wa tiketi ya Urais ulivyoenda ndani ya chama chake!?Jinping ni dikteta tu. Ukishakuwa na mfumo unaoruhusu mtu mmoja kuwa na absolute power, huyo mtu akiwa na tamaa tu ya kuongoza, basi anaweza kuongoza mpaka achoke. Jinping sio kuwa anakubalika zaidi ya waliopita , bali ni mlevi wa madaraka. Eti Mao ze dong alitawala miaka mingapi!? Kwa hiyo unataka turudi enzi za Nyerere!? Kwa faida ya nani!?