Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kama huhitaji kuisoma hiyo makala basi hata na posts zangu usisome.Huo ni mchango wangu. Na ni relevant ungesoma ungeelewa habari ya uchawi iko wapi.Naona umechanganyikiwa. Sihitaji kuisoma hiyo makala, ninachohitaji ni haya niliyo yaorodhesha:
...ndio kusema "revolution" ni uchawi?
...umekuwaje mkuu; na majibu yaliyojaa jazba?
...Umeshindwa nini leo kui engage na hoja yake.
...una muattack bila hata na hoja ya msingi. Not so smart.
ona sasa, weye huyu wa ad hominem argumentum-Bro niliyoyauliza vipi? manake sikuuliza Traore ni nani.
Indeed medieval busllshit kwa reasoning uliyotumia kule juu
ona sasa, makasiriko ya nini
Aha. Sasa tatizo lako lipo wapi kama unatambua hilo?
Kwanini ulazimishe Demokrasia ya Wazungu kwa wa Burkinabe, Watanzania,Waafrika?
Lakini hutaki kusoma. Nitakusaidiaje kuelewa wakati hutaki kusoma?
Na mimi sitasoma zako nakupeleka ignore list kuanzia sasa sitaona unachopost.
Si lazima unielewe leo hata miaka 10 ijayo ukiwapo utanielewa.