Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Modern world haina shida na utawala wa kijeshi wa Guinea au Gabon. Mtawala wa kijeshi wa Gabon ni kipenzi cha Marekani na EU balaa. Mtawala wa kijeshi wa Chad hadi anatembelewa na wanasiasa wa Ufaransa.Lakini mtawala wa kijeshi akiwa Traore modern world haitaki. Unaweza kunifafanulia hapo? Kwanini watawala wa kijeshi wengine wapendwe na wengine wachukiwe?
Hahaha mpuuzi mwingine huyo ambaye yuko brainwashed na propaganda za mabeberu...!! Eti modern world haitaki utawala wa kijeshi inataka civilian rule, dunia ipi hiyo kwanza?

hii ambayo marekani emashafanya majaribio kadhaa ya kumpindua Nicolas Maduro akishirikiana na vikosi vya kijeshi visivyoubaliana na sera za Maduro??

Yaani marekani yuko desperate kuuondoa utawala wa kiraia uliopo Venezuela na kusimika puppet wake ambaye atalindwa na jeshi, halafu yeye yuko hapa kutwambia habari za modern world sijui inataka nini...? Ndio maana mimi nasema hawa wapenda demokrasia hususani waafrika wengi wako half-educated.
 
Huyu mtu ni mbumbumbu. Kukosa uwezo wa kupambanua kauli za Traore kunaonesha ni upungufu wa akili. Kwa namna nyengine tafsiri yake ni kuwa maendeleo yanakuja na maumivu. Hatuwezi kukwepa kuwajibika kama jamii ili kupata maendeleo tunayotaka.
Huyo jamaa nimemshangaa sana, lakini tusimlaumu sana ndio aina ya wasomi tulionao kwenye taifa hili, uwezo wa kiakili ni duni sana
 
Nyie wapenda ushoga(demokrasia) huwa mna fikra duni,nyepesi mbovu sana.

Kwa hiyo leo hii Tindu Lisu akisema ccm haistahili tena kurudi madarakani baada ya kushindwa uchaguzi hapa october, tafsiri yake ni kwamba chama kitakachokuwa kimeshinda uchaguzi let's say CHADEMA kitakuwa kina mpango wa kukaa madarakani milele au? Una uwezo kufikiri mfupi sana bila kujua
Pumbavu mkubwa wewe uliyekosa akili. Unawaza kila mtu ni mpumbavu Kama wewe?. Fuvu lako bovu alina hata uwezo wa kufikili ndiyo maana umeleta na habari za Lisu hapa. Habari za lisu Zinahusika na nini hapa ***** wewe. Katumia akili iliyokuzidi ufahamu kuita nchi ya kimapinduzi ili wenye akili finyu Kama wewe usielewe kitu.UNAVYOCHOKOLEWA una waza kila mtu ni ***** KAMA WEWE
 
Ikiwa wameshindwa kuondoa umasikini basi hawana positive impact

Barabara
Madaraja

Hata wakoloni walijenga is bullshit kuwasifu viongozi wa Africa ambao wamekuwa wakiliibia Taifa na kujilimbikizia mali
Akili zako ni ndogo sana, kwani hao unaowashadadia kwa demokrasia yao hayo maendeleo waliyapata ndani ya muda gani na demokrasia yao?
 
Pumbavu mkubwa wewe uliyekosa akili. Unawaza kila mtu ni mpumbavu Kama wewe?. Fuvu lako bovu Alina hata uwezi wa kufikili ndiyo maana umeleta na habari za Lisu hapa. Habari za lisu Zinahusika na nini hapa ***** wewe. Katumia akili iliyokuzidi ufahamu kuita nchi ya kimapinduzi ili wenye akili finyu Kama wewe usielewe kitu.UNAVYOCHOKOLEWA una waza kila mtu ni ***** KAMA WEWE
Ona sasa mashoga mlivyokuwa na mihemko...

Yaani hiyo comment yangu ndio imekufanya ulipuke hivi kama kahaba aliyekosa wateja, dude you are mentally deranged...!! Huna akili hata kidogo matako wewe, na ndio maana unashadadia tu demokrasia....demokrasia, haujui hata undani wa hiyo demokrasia yenyewe.

Wazungu wanajua majitu wenye akili za kuku kama wewe mmejaa huku afrika ndio maana wamewaletea kiini macho kinachoitwa demokrasia hili kurahisisha ukoloni mamboleo pamoja na kupitisha ajenda zao kama ushoga ambapo naamini kabisa wewe tayari wameshakuchota, si unaona hapo ulivyohemkwa utafikiri umekalia mpini..😃
 
Usisahau wana Chadema wanaopinga ujenzi wa bomba la mafuta hadi leo eti KATAA EACOP😂😂😂😂..Sijui wamapewa kiasi gani na umoja wa Ulaya maana umoja wa Ulaya ndo wako mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bomba letu la mafuta wakati haliwahusu. Unamuona mtu kabisa kiongozi mkubwa yuko busy KATAA EACOP unaishia tu kumhurumia maana kauza nafsi yake kwa mabeberu
Hao kiongozi yeyote makinj hawezi kuwalea maana ni maadui namba moja wa taifa.
 
Ona sasa mashoga mlivyokuwa na mihemko...

Yaani hiyo comment yangu ndio imekufanya ulipuke hivi kama kahaba aliyekosa wateja, dude you are mentally deranged...!! Huna akili hata kidogo matako wewe, na ndio maana unashadadia tu demokrasia....demokrasia, haujui hata undani wa hiyo demokrasia yenyewe.

Wazungu wanajua majitu wenye akili za kuku kama wewe mmejaa huku afrika ndio maana wamewaletea kiini macho kinachoitwa demokrasia hili kurahisisha ukoloni mamboleo pamoja na kupitisha ajenda zao kama ushoga ambapo naamini kabisa wewe tayari wameshakuchota, si unaona hapo ulivyohemkwa utafikiri umekalia mpini..😃
Wewe ni maku wa kawaida tu ukileta store ya kishamba nakupa za uso tu Tako wewe. We ni *****. Mtu akiwa na mchango wa tofauti na unavyotaka wewe unakuja uchoko wako kushambulia. Kachokolewe mavi uko Maku mkubwa wewe
 
Ile ni lugha ya picha, tafsiri yake ni jamii iliyostaarabika kwa mipaka mingi kulinganisha na jamii changan kiustaarabu. Hata awamu za tawala baada uhuru sisi tuna sita, wenzetu wana ngapi?
Nakuwekea mkuu lakini umekuwa "too emotional" kwani NYANI haibadiliki kuwa binadamu kutokana na idadi za AWAMU....

Labda kwa sababu watu weusi walikosa UKATILI wa fikra ufananao na wa weusi....na ndio maana matokeo yake ni huku KUSUASUA kimaendeleo.....

Kama ilivyo maendeleo ya binafsi yalivyo.....mwenye elimu na mali nyingi huwa anaweza akawa amefika alipo kutokana na SACRIFICE mwenyewe ama hata kuwasacrifice* wengine.....

#Peace
 
Naona ameanza kujitabiria...kama yule wa kwetu 🙏🏿

View attachment 3291316
Hizi ndio kauli za kiongozi mzalendo sasa anayethamini taifa lake na watu wake, haogopi kusacrifice maisha yake.

Wewe unataka aina viongozi kama Paul Biya au Teodore Nguema walioishi miaka kibao, wamekaa madarakani miaka kibao halafu hakuna cha maana walichokifanya zaidi ya kuwaachia wanainchi wao maumivu na kuwa vibaraka wa mabeberu.
 
Wewe ni maku wa kawaida tu ukileta store ya kishamba nakupa za uso tu Tako wewe. We ni *****. Mtu akiwa na mchango wa tofauti na unavyotaka wewe unakuja uchoko wako kushambulia. Kachokolewe mavi uko Maku mkubwa wewe
Dude my simple advice to you just try to visit any nearby psychiatric center for undergoing mental derangement diagnosis, wewe ni mgonjwa wa akili nyau wewe.
 
Viongozi " tunaowataka" ni kina nani? Si ndio hao wanaoleta maendeleo au?.Hapo Libya tangu wamuue Gaddafi kuna nani kafanya vizuri zaidi yake? Kama kiongozi ni mzuri kwanini kuharibu mapesa kufanya uchaguzi? Cha muhimu kuwa na mifumo mizuri itakayoandaa viongozi wazuri wa baadae. Mfano mzuri ni China, XI Jinping yupo madarakani tangu 2013 na nchi yake ina maendeleo kuliko sisi tunaojitia kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Na hata akitoka yeye tayari mwingine wa kuchukua nafasi yake ameandaliwa. Sasa sisi tunabadili viongozi, mtu kisa anajua ana miaka mitano ya kukaa madarakani anajitahidi aibe tena aibe tena ili siku akimaliza ubunge apumzike. Kila baada ya miaka mitano tunapata wezi wapya huku tukijidanganya eti " tumechagua viongozi tunaowataka". Tukishawachagua hatuna uwezo wa kuwawajibisha tunasubiri mitano tunafanya uchaguzi kuingiza mwizi mpya ofisini
Kwani China imeendelea baada ya Jinping kuwa Rais!? Kabla ya Jinping wwnzake waliotangulia walikuwa wanatawala miaka 10. Je, yeye ana umaalumu gani zaidi ya wenzake!? Kuiba kwa mtu kunatokana na kukosekana kwa mifumo ya kuwawajibisha wanaoiba. Na hiyo inachangiwa na watawala kuiba chaguzi, kwa hiyo hawana wasiwasi hata msipowachagua, wataiba na kutangazwa washindi.
 
Jinping ana umaalumu gani? Walioruhusu akae hapo hadi leo wameuona umaalamu wake ndio maana bado yupo. Halafu kwani Mao Zedong na yeye alitawala miaka mingapi? Maana yeye ndo aliweka msingi mzuri ambao umewakuta hadi kina XI Jinping.Na inakuwaje China ambao hawana demokrasia wana mifumo mizuri ya kuzuia na kuwajibisha wezi ilihali sisi tunaofanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano hatuna? Mbona chaguzi hazileti majawabu? Mbona chaguzi hazileti mifumo mizuri?
 
Wapi Magufuli kaiba? Hiyo AIR TANZANIA angeamua si angeiandikisha katika jina lake awe anaimiliki yeye?

Na hiyo Rwanda inapiga hatua kila kukicha hata Currency yake hatuifikii.
Rwanda kanchi kadogo kama mkoa wa arusha. Halafu rwanda ni kigali tu ndio una maendeleo, sehemu nyingine hovyo kabisa, ukitoa kigali nitajie mkoa rwanda wenye maendeleo
 
Umenichekesha sana.
England, France, Holland ,Russia, Spain na Italy hizi zote zilitawaliwa na wafalme huko nyuma na bado England, Spain na Holland zinatawaliwa na wafalme hadi sasa bila kusahau UAE nchi zake hazifuati demokrasia na zimeendelea tukienda Canada, New Zealand na Australia hizi ni dominion za King Charles na zimepiga hatua.

Naungana na Rais wa Burkinafaso.
umepiga palepale
 
naunga hoja kwa mikono na miguu
 
Back
Top Bottom