Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Hakika....

Ni CCM tu ndiyo inayopambana na mifumo ya kibeberu ndani yake na nje yake....huko nje wanaanzia hawa MAKUWADI wa ubeberu na ukolonimamboleo akina Tundu Lissu na Chadema yao.....
Sio kwamba CCM ndo inapambana sana , HAPANA. Lakini Chama kama Chadema ambacho kinachojinasibu kama tumaini la waliochoshwa na watawala wa CCM kinatakiwa kujionyesha kweli kinaweza kuaminiwa. Sasa unakosoa CCM kesho unapokea hela za wazungu kukataa bomba la mafuta, wewe unatofauti gani na mafisadi wa CCM?. Mwisho wa siku raia wanaona wafanye mambo yao hizi siasa ni kwa ajli ya upigaji hakuna penye ahueni.
 
Mpaka sasa hivi Capt. Traore amesha survive coup attempts zaidi ya 31 na amesurvive assasination attempts nne.

Kwa hiyo yeye mwenyewe analijua hilo ndio maana kila dk anayoishi yuko tayari kimamapambano... na of course kwa historia ya taifa la Burkinafaso yeye mwenyewe anajua uongozi wake hautakuwa na mwisho tofauti na wa watangulizi wake akina Zerbo,Jean Baptiste,Sankara,Campaore na huyu wa karibuni Damiba.
Sawa tu....

Nimeendesha bodaboda miaka 3....kila siku nilikuwa najiandaa na kifo kupitia AJALI....wako waliokuwa walemavu....wako waliokufa....ila mimi bado AHADI yangu haijafika....

Maisha ni vita na kifo kinaweza kuja kwa njia yoyote na si lazima uwe ADUI WA MABEBERU kama komredi Traore.....
 
Usisumbuke kuumiza kichwa, mfano mzuri unao hapo Libya. Unaionaje Libya ya sasa ya kidemokrasia na ile ya kimapinduzi chini ya Ghadafi? Ingawa this is not always the case
Gaddafi alikuwa mjinga kutupatia MAJI SAFI YA KUNYWA nchi nzima wenyewe tumeshazoea tabu ,hatutaki utulivu ,hatutaki amani ,hatutaki uchumi bora kwani kuwazidi uchumi mwananchi mmoja mmoja wa Italy ni DHAMBI isiyoyamehewa na Mwenyezi Mungu.....
 
Sio kwamba CCM ndo inapambana sana , HAPANA. Lakini Chama kama Chadema ambacho kinachojinasibu kama tumaini la waliochoshwa na watawala wa CCM kinatakiwa kujionyesha kweli kinaweza kuaminiwa. Sasa unakosoa CCM kesho unapokea hela za wazungu kukataa bomba la mafuta, wewe unatofauti gani na mafisadi wa CCM?. Mwisho wa siku raia wanaona wafanye mambo yao hizi siasa ni kwa ajli ya upigaji hakuna penye ahueni.
....ha ha ha na ndio maana BINAFSI nikachagua "zimwi linalonijua"...


#Bora ya hao KIJANI !
 
Jumuiya ya Francophone iliwasakama kina Traore kisa mapinduzi lakini kina Mamadou Doumbiya hawakuambiwa chochote na yule Mahamat Idris Deby wa Chad ndo kabisa kuna media ya mabeberu ilandika Ufaransa imesapoti mapinduzi nchini kwake. Sasa unajiuliza kwa nini kina Traore wasakamwe lakini wengine wakifanya mapinduzi wapewe sapoti kabisaa. Jiongeze
Mamadou Doumbya huwa anatembeaga mpaka kwa miguu mitaani akisalimiana na watu, yaan kifupi anakubalika sana na watu wake, ndio maana hata media za ufaransa zimekosa propaganda za kumchafua....

halafu huo ukanda wa AFRIKA magharibi umejaa masnitches wengi sana ndio maana wakatengeneza SAHEL.

Wanamudama sana Traore maana amekuwa na influence na inspiration kubwa sana huo ukanda.
 
A case study of magufulification vs samia regime in bringing about tangible development.
 
Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao
Taore Ana Ushamba fulani ni Swala la muda tu atatufuta pakutokea na kwasasa Wanyama wametulia tu Wanamchora anavyo trend
 
stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Kauli zetu watz kuwa na maono yakuhukumu
 
Mamadou Doumbya huwa anatembeaga mpaka kwa miguu mitaani akisalimiana na watu, yaan kifupi anakubalika sana na watu wake, ndio maana hata media za ufaransa zimekosa propaganda za kumchafua....

halafu huo ukanda wa AFRIKA magharibi umejaa masnitches wengi sana ndio maana wakatengeneza SAHEL.

Wanamudama sana Traore maana amekuwa na influence na inspiration kubwa sana huo ukanda.
Traore anakubalika kwake zaidi hata ya huyo Doumbiya. Lakini wafaransa bado hawakomi kumsakama.Doumbiya mke wake mfaransa ndio maana hasemwi kwa chochote
 
Sio kwamba CCM ndo inapambana sana , HAPANA. Lakini Chama kama Chadema ambacho kinachojinasibu kama tumaini la waliochoshwa na watawala wa CCM kinatakiwa kujionyesha kweli kinaweza kuaminiwa. Sasa unakosoa CCM kesho unapokea hela za wazungu kukataa bomba la mafuta, wewe unatofauti gani na mafisadi wa CCM?. Mwisho wa siku raia wanaona wafanye mambo yao hizi siasa ni kwa ajli ya upigaji hakuna penye ahueni.
Imagine kipindi cha awamu ya Magu akina Zitto walienda kwa mabeberu kupiga block misaada iliyokuwa inaletwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kwa sababu zao binafsi za kisiasa, hao hao akina Zitto kipindi cha uchaguzi wanaenda kuwaomba hela mabeberu kwa ajili ya kampeni, halafu eti wanataka wakabidhiwe nchi? Wana akili hao?
 
stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Chill out men
 
Imagine kipindi cha awamu ya Magu akina Zitto walienda kwa mabeberu kupiga block misaada iliyokuwa inaletwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kwa sababu zao binafsi za kisiasa, hao hao akina Zitto kipindi cha uchaguzi wanaenda kuwaomba hela mabeberu kwa ajili ya kampeni, halafu eti wanataka wakabidhiwe nchi? Wana akili hao?
Jambo la ajabu ni kuona mwanasiasa anaamini mabeberu wanaofadhili vifo vya raia wa Kongo atakuwa na nia njema na sisi.
 
Traore anakubalika kwake zaidi hata ya huyo Doumbiya. Lakini wafaransa bado hawakomi kumsakama.
Kuna huyu mwana mama wa Namibia aliyechaguliwa juzi Netumbo kama umefuatilia hivi karibuni na yeye ameanzisha vugu vugu la kuwakataa wajerumani kuhodhi makampuni ya uchimbaji wa almasi nchini kwake, na inasemekana amekuwa inspired na Traore.... Nafikiri kusakamwa kwa Traore ni sababu ya upepo alionao na influence yake kwa mataifa mengine, na zaidi ya hapo amemuenyesha sana mfaransa.
 
Taore Ana Ushamba fulani ni Swala la muda tu atatufuta pakutokea na kwasasa Wanyama wametulia tu Wanamchora anavyo trend
Watu tunaoliona hili kuwa dogo ni mshamba tunaonekana hatunazo.

1. Huwezi kuifanyi nchi kisiwa ukaendelea never
2. Huwezi kuendesha nchi kwa matamshi bila nikakati endelevu..never
 
Jambo la ajabu ni kuona mwanasiasa anaamini mabeberu wanaofadhili vifo vya raia wa Kongo atakuwa na nia njema na sisi.
Ni uwendowazimu kuamini watu wanaofadhili vikundi vya uhasi vinavyoua maelfu ya watu ndio wanapaswa kukufundisha wewe demokrasia...!!
 
Ni suala la muda tu, dogo ni mpenda sifa na mshamba...kutwa kuning'iniza pisto
Badala ya kumuita Traore mshamba, sema wewe hapo ndio fala wa mwisho na huna akili hata kidogo, maana ubongo wako huko occupied na fikra za miungu wako wa magharibi....!!

Eti mpenda sifa, unajua mambo aliyoyafanya Traore Burkinafaso kwa hii miaka miwili na nusu tangu awe raisi baada ya kumuondoa yule kibaraka wa wafaransa Henri Damiba?

Tatizo kwa vile nyi mmekubali kuwasujudia mabeberu/wakoloni basi mnataka kila mtu awe na akili kama zenu, na yeyote asiyekuwa na mindset za kitumwa kama nyie mnamuita mshamba, wajinga sana nyie...

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wale mnaosuppot samia kwenye kila anachokifanya ikiwemo kuuza rasilimali...!!

Traore ni specie adimu ambayo tuliimiss hapa afrika kwa kipindi kirefu sana na tunapaswa kumlinda kwa hali na mali, nyie vibaraka/watwana wa mabeberu/wakoloni endeleeni kuwalamba mabwana zenu miguu
 
Taore Ana Ushamba fulani ni Swala la muda tu atatufuta pakutokea na kwasasa Wanyama wametulia tu Wanamchora anavyo trend
Wanyama gani wanaomchora?

Ni heri kuishi miaka miwili ukiwa huru kuliko kuishi miaka 100 kwa unafiki,uoga na kujipendekeza pendekeza..!!

Wewe nnavyokuona hao unaowaita wanyama wakikwambia huko tayari wakupangie maisha ikiwemo mpaka sula la kuoa au kuolewa.
 
Back
Top Bottom