Wewe ni mzazi mjuaji,viboko 48 hata ng'ombe lazima akufe.Juzi nikuwa halmashauri nikakutana na mzazi mjuaji kama wewe ,yeye analalamikia kuwa walimu wamefukuza binti yake,afisa elimu kupiga simu kwa mkuu wa shule kambiwa mambo tofauti na wala hakuna taarifa za mtoto kufukuzwa shule.
Ninyi wazazi wapuuzi sana,hivi kwa karne hii kuna mwalimu anapenda kupiga piga vitoto vyenu eti!!?
mwaka 2007 nilipigwa viboko 80,na sikufa,niambie sasa nasema uongo?,
staff nzima kila mmoja 8,walimu walikuwa 10,jambo hili lilitokea kwa kuonewa,kwa sababu tulikua form 1 basi ikawa hivyo ilivyokuwa,nilipofika form 3 mwalimu mmoja mjinga akataka kufanya vilevile alivyofanya nikiwa form 1,kilichotokea kinajulikana hadi leo shuleni pale,tokea hapo nimejiwekea kanuni sivumilii wapumbavu wanaokiuka maadili au taratibu za kazi zao haijalishi cheo au mamlaka yao;
nina hakika wewe ni mwalimu,unatetea kundi kubwa la waalimu wasiojitambua,huangalii uhalisia,ni mara ngapi tunaona hadi videos mwalimu akivunja kanuni kwa kupiga mwanafunzi ngumi au mateke na makofi?,mwalimu anapiga badala ya kuchapa,eti ili aogopwe shule nzima,ujinga mtupu;
ulimwengu wa leo unachapa mtu viboko 10 kweli?,kwa afya hizi?,naamini waalimu wengi hawana nidhamu ile wanayotaka wanafunzi wao wawe nayo;
nimesoma shule moja,mwalimu mmoja alikua hashiki fimbo,hatukani wala si mkali,ila hata wale wanafunzi wakorofi akiwa T.O.D. walikua wanafanya kila kitu bila shida wala usumbufu,iwe usafi au mambo mengine shuleni;
mimi ukimchapa mwanangu fimbo zikazidi 4 nalala na wewe mbele,sivumilii waalimu wapumbavu;