DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tena aongozwe 48 nyie wazazi wa aina hii ndio mnatujengea taifa la kulia lia vijana walegevu wapenda maisha mteremko viboko tu umefungua uzi!
kuna aina 2 za viboko aina ya kwanza kumtia mtoto adabu viboko 5 kumkomua zaidi ya 5 kwenda mbele mwalimu huyo akimpiga mwanangu na muwekea wakili anapambana nae
 
kuna aina 2 za viboko aina ya kwanza kumtia mtoto adabu viboko 5 kumkomua zaidi ya 5 kwenda mbele mwalimu huyo akimpiga mwanangu na muwekea wakili anapambana nae
Nunua ubao umfundisho nyumbanu!
 
DED, DAS, DSEO, DAO, REO Mr Kaponda wako kimya, ina maaana mpaka mtoto afe ndio zichukuliwe hatua? Mkuu wa shule yupo Alikemei hili mpaka mwanafunzi afie shule?
Mpaka Majaliwa atoe tamko, hujaona Esta Mwanyiru amepatikana few hours baada ya PM kutoa agizo juzi jioni mpaka Nyumba 10 tena wa mitaa isiyohusika walijitokeza kumsaka binti Esther?
 
VIboko 48??? Huyo kijana wako mhuni
HIki kizazi cha sasa bila fimbo hakiendi
 
viboko sigomi na navisadiki sana ila hii idadi ni kubwa au umezidisha kwa sita maana hamkawii nyinyi
 
Wenzetu hawapigi viboko na ndio hao wanaunda mpaka robot na nyambizi pamoja na madawa

Sisi unapiga viboko akimaliza anakuwa kibaka awe serikalini au popote pale

Endeleeni kupiga tu maana laana ndio hizo na mtabaki mnashikilia mkia kwa uchumi kisa ujinga
 
Acha viboko vitembee matoto ya siku hizi ni "much know"saana
 
Wenzetu hawapigi viboko na ndio hao wanaunda mpaka robot na nyambizi pamoja na madawa

Sisi unapiga viboko akimaliza anakuwa kibaka awe serikalini au popote pale

Endeleeni kupiga tu maana laana ndio hizo na mtabaki mnashikilia mkia kwa uchumi kisa ujinga
Bora hata usemee wee.
 
Back
Top Bottom