kuna aina 2 za viboko aina ya kwanza kumtia mtoto adabu viboko 5 kumkomua zaidi ya 5 kwenda mbele mwalimu huyo akimpiga mwanangu na muwekea wakili anapambana naeTena aongozwe 48 nyie wazazi wa aina hii ndio mnatujengea taifa la kulia lia vijana walegevu wapenda maisha mteremko viboko tu umefungua uzi!
Nunua ubao umfundisho nyumbanu!kuna aina 2 za viboko aina ya kwanza kumtia mtoto adabu viboko 5 kumkomua zaidi ya 5 kwenda mbele mwalimu huyo akimpiga mwanangu na muwekea wakili anapambana nae
Wewe private wanasambaza njukuti ogopa nduguZipo shule nyingi tu ambazo hakuna viboko. Muhamishie huko.
N.B
Nyingi ni Private
Mpaka Majaliwa atoe tamko, hujaona Esta Mwanyiru amepatikana few hours baada ya PM kutoa agizo juzi jioni mpaka Nyumba 10 tena wa mitaa isiyohusika walijitokeza kumsaka binti Esther?DED, DAS, DSEO, DAO, REO Mr Kaponda wako kimya, ina maaana mpaka mtoto afe ndio zichukuliwe hatua? Mkuu wa shule yupo Alikemei hili mpaka mwanafunzi afie shule?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii tupuuu.Wanafunzi wanapambana viboko wazazi wanapambana na tozo.
Bora hata usemee wee.Wenzetu hawapigi viboko na ndio hao wanaunda mpaka robot na nyambizi pamoja na madawa
Sisi unapiga viboko akimaliza anakuwa kibaka awe serikalini au popote pale
Endeleeni kupiga tu maana laana ndio hizo na mtabaki mnashikilia mkia kwa uchumi kisa ujinga