Karani wa sensa aporwa kishikwambi Arusha Ungalimited

Umeongea as if umeconfirm kweli kajigawia aisee, are you sure? Mtu hadi anajeruhiwa unaona kuna kujigawia siyo kuibiwa aah tuache kuwaza negative tu sometimes.
 
Sakina na Njiro sio rahisi kuporwa.
Tatizo unga ltd Kuna chochoro nyingi haswaa mtu akipiga hatua tano hamumpati.
Sio ngalimi tu chocho zote hapa bakta ukisororeshwa lazima ubaki kama mang'aa. Ukiingia chocho utatoka na boxer kama tukikuonea huruma, ama niaje unatoka hata utumbo uko nje sio ndichi.
 
Sio ngalimi tu chocho zote hapa bakta ukisororeshwa lazima ubaki kama mang'aa. Ukiingia chocho utatoka na boxer kama tukikuonea huruma, ama niaje unatoka hata utombo uko nje sio ndichi.
Ila dawa yao askari huwa wanawafanyia kitu fresh hawasahahu ukisumbua sana mtaani ukienda ndani ukirudi wakikukuta tena kwenye rukio mnamalizana hapo hapo na imesaidia kupunguza wapuuzi wengi sana.
 
Ila dawa yao askari huwa wanawafanyia kitu fresh hawasahahu ukisumbua sana mtaani ukienda ndani ukirudi wakikukuta tena kwenye rukio mnamalizana hapo hapo na imesaidia kupunguza wapuuzi wengi sana.
Hizo ni story tu. Wauni bado tupo kitaa dingi, tunachanja veve, tunakula ngada, tunapuliza shada mbele mbele yao babaake na hao makarao ndio madingi zetu
 
Hizo ni story tu. Wauni bado tupo kitaa dingi, tunachanja veve, tunakula ngada, tunapuliza shada mbele mbele yao babaake na hao makarao ndio madingi zetu
Dah ila Arusha wamezidi Sasa...yani mtu Kila saa unakuwa attention Maisha ya shaka sana.
 
Yaani mwanamke anaenda kuhesabu watu usiku bila ulinzi hadi ikabidi mumewe ndio awe mlinzi!! Hii nchi hajawahi kuwa serious.
 
Ipoje hiyo mkuu maana kuna lisimu hapa ungalimi nimeuziwa elf 15 ila ni li smartphone likubwa jipyajipya halifanani na hiyo bei au ndo nimeshaingia kwenye 18 za chief hengaya
😀😀😀unga limited kuna siku nilipita mchana kuna nyumba zimechoka balaa na watu wamechoka balaa kwa pombe na madawa , wamejianika nje ya kila nyumba jichanganye uulize njia😀😀umeyakanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…