Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hata mimi ngashangaaHivi hadi leo Unga kuna watemi?
Nenda kigamboni uone ilivyotulia Afande khamis anaogopeka kama ukomaHizo ni story tu. Wauni bado tupo kitaa dingi, tunachanja veve, tunakula ngada, tunapuliza shada mbele mbele yao babaake na hao makarao ndio madingi zetu
😀😀Hiyo mibangi, ugoro, gongo na gundi wanapata wap nguvu You kubaka aiseee.
Nipe iyo connection boss sijapata badoMshahara laki kwa mwezi
Ntawaibia😀😀Huwezi kukosa chenji za Walevi
Hiyo mibangi, ugoro, gongo na gundi wanapata wap nguvu You kubaka aiseee.
japo sio mkazi wa arusha ila nikipita na wanangu huko kunakoitwa ungalimited mbona sioni kabisa kama kumekaa kimatukio kama watubwanavyopasema? au mnawasingizia?.bhata huku town yale maeneo yanayosifika kwa waahuni sjui manzese sjui ferry tanavamba na minaz kinda mbona natembelea sana hayo maeneo na sioni dalili zozote za huo ubabe na tabia za uizi kama watu wanavyoongelea. au na mm nipo kwenye mfumo wao kwahyo sioni kama kuna tatizo. nawaza sana
Au akaitupe mto bom-bomKaitelekeze Daraja Mbili fasta kabla hawaja kubamba nayo rafiki
Mimi pia ndo nimejua juziHahahaha kwa hiyo kishikwambi maana yake tablet?