Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Unga limited walihi muua jamaa mmoja alikodi boda boda aliposhushwa tuu wahuni wakamvamia yeye wa boda hana hata taarifa kilichotokea kwa abiria wake asibuhi anapata taarifa yule abiria aliuawa na baadhi ya vitu walichukua lakini ulipita msako wa nyani wahusika wa mauaji walikamatwa ila tulibaki kusikitika tuu kwa lile tukio la kikatili lisilo na kichwa wala miguu..