Karani wa sensa aporwa kishikwambi Arusha Ungalimited

Karani wa sensa aporwa kishikwambi Arusha Ungalimited

Unga limited walihi muua jamaa mmoja alikodi boda boda aliposhushwa tuu wahuni wakamvamia yeye wa boda hana hata taarifa kilichotokea kwa abiria wake asibuhi anapata taarifa yule abiria aliuawa na baadhi ya vitu walichukua lakini ulipita msako wa nyani wahusika wa mauaji walikamatwa ila tulibaki kusikitika tuu kwa lile tukio la kikatili lisilo na kichwa wala miguu..
 
Sema watu wa arushaa wanapenda sana sifa..
Nina rafiki zangu wakiweka status yaani ni kujisifia tuu arushaa arusha, alafu wao wapo dar..
Huu ni ushamba sana,
Hilo tukio kila wa arushaa kaliweka status.

Na kuna watu wa mbeya nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wasukuma wamepoozeshwa kidogo.
[emoji1787][emoji1787]
 
japo sio mkazi wa arusha ila nikipita na wanangu huko kunakoitwa ungalimited mbona sioni kabisa kama kumekaa kimatukio kama watubwanavyopasema? au mnawasingizia?.bhata huku town yale maeneo yanayosifika kwa waahuni sjui manzese sjui ferry tanavamba na minaz kinda mbona natembelea sana hayo maeneo na sioni dalili zozote za huo ubabe na tabia za uizi kama watu wanavyoongelea. au na mm nipo kwenye mfumo wao kwahyo sioni kama kuna tatizo. nawaza sana
 
ARUSHA WAHUNI NI WENGI MNO, HAO WENYEWE WANASEMA NI BORA UCHELEWE KURUDI NYUMBANI UKIWA DAR LAKINI SIO ARUSHA.
DAR UNAWEZA UKACHELEWA KURUDI NYUMBANI HATA MPAKA SAA 7 USIKU NA UKAFIKA SALAMA ILA KWA ARUSHA HAPANA.
 
Wanachagua watu wa kuwapiga wewe wanakuona mwenzao

Back
Top Bottom