Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
Mm na ww hatuwez kufaidika moja kwa moja endapo yoyote kat ya wagombea wakishinda, hvy n bora kujipa iman tuu
Hivi Hao wanachama mnaodai mnajivunia mnawapa mishahara,mnawalipia ada watoto wao,mnawapa mbolea bure,nk mbona nao tunataabika nao mitaani,mbona nao wanazidi kuwa maskini???kwanini mnajivunia watu wenye taabu wenzetu?? Mwaka huu hawadanganyiki mana wamegundua nao wanataabika sasa ni kubadili Mfumo!Ukweli ni kwamba haya usemayo ni maneno ya MFA MAJI. CCM inao mtaji wake kwa wananchama wake na wapenzi wake siyo "kwenye mbinu chafu". Na haya mnayasema sasa hivi kwa sababu ya kuaminishwa vibaya na kwa UONGO na akina Amsterdam, mkidhani watawasaidi kwa njia yoyote ile kwenye kushindwa kwenu kwenye uchaguzi huu. Hao wanatumia mbinu ya mwaka 47 kutaka kuleta fujo katika nchi zetu. Tunawafahamu na tumewashtukia!
Tatizo lenu wanakuoneni fyuzi imepanguka, ndio maana wanakutumieni.Mnachosahau ni kwamba ccm ni taasisi tofauti na vyama vyenu vya msimu, mwezi june kabla ya uchaguzi ndani ya chama ccm ilihakiki daftari lake la wanachama ili kupata wapiga kura ndani ya chama kwenye uchaguzi wa ndani. Kumbuka ccm tangu 2015 imefanya uchaguzi mkuu mara mbili; kwanza uchaguzi wa viongozi wa chama kwa kipindi cha miaka mitano na pili uchaguzi wa watia nia kuwapata wagombea kwenye ugombea wa ubunge na udiwani, two months ago such an election was conducted. Tegemea wanachama hai wa ccm watakwenda kuwapigia wagombea wao yaani kuwa na mafiga matatu.
Nimejaribu kukupa picha ya juu juu ili ufahamu kwamba Lissu ategemee kipigo cha karne cha kushindwa, ajue anashindana na taasisi imara.
Usinywe sumu kuna maisha baada ya uchaguzi, please
Kweli mkuu hawa wanasaccos wanamatatizo wanafikiri watz wajinga kiasi hicho lakini 28/10/2020 watawajua watz wakoje.Ni bora tufunue marinda ya wanachema wote kuliko Lissu kuwa Rais hilo Jambo halipo leo wala halipo kesho wala keshokutwa.
Ni bora hata Tz ifanane na Libya kuliko kuruhusu shoga kuwa Rais wa nchi.
Hapa ndo mnapofeli chadomo yaani kura za Twitter kwnye ma parody ndo zinawaaminisha kuwa lissu anashinda , Fanyen tafit Field sio mitandaon !View attachment 1579398
Raia Elfu tisa (9,000+) kwa sample sio kidogo.. Lazima mung'oke marahii, hatutaki wazimu.. Eboss
Kuna majimbo 264 ! Niambie kwa upianzani upi uliopo unaoweza kuchukua hata majimbo 20 tu! Tanzania hii! Mnajidanganya sana chadomo!Kwenye iyo tarehe ndio mnamalizwa tuuu.
Mimi nawaambia kushindwa uchaguzi sio KIOJA , mnaingia kambi ya upinzani mara hii mkajipange UPYA wapi mlikosea.
Ipo hivi CCM mpaka sas ina wapiga kura wanachama halali wapatao 8M ! Tuambie ninyi mnao wangap? Kishinda uchaguzi hakupo Jf ! Field ndipo mikakati ya Ushindi ilipo!Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
Unajua ccm inawanachama wangapi?Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
Unajua ccm inawanachama wangapi?
Usifikuli unachopenda wewe au unachochukia ni sawa mwenzako. Subli 28 na atakaye apishwa ndo useme.
Unaweza kunipa tofauti ta Lowasa na Lissu.
Hao wanachama 8m ni robot kwamba wamekuwa programmed hawezi kubadirika?Ipo hivi CCM mpaka sas ina wapiga kura wanachama halali wapatao 8M ! Tuambie ninyi mnao wangap? Kishinda uchaguzi hakupo Jf ! Field ndipo mikakati ya Ushindi ilipo!
Unajua ccm inawanachama wangapi?
Usifikuli unachopenda wewe au unachochukia ni sawa mwenzako. Subli 28 na atakaye apishwa ndo useme.
Unaweza kunipa tofauti ta Lowasa na Lissu.
Kwani wewe mgeni wa chaguzi za Tanzania.Msianze kutapatapa, nyinyi wenyewe mnatuletea wapinzani wabovu, na wengine mumewachinjia angani kwa kiki ya kuungana ambayo nikinyume na katiba na sheria za inchi. Halafu mnasema ccm itaiba kura kwani kunaupinzani gani ambao unaweza sababisha ccm iiibe kura??